TUMBO LILIMVURUGA PRINCE DUBE MBELE YA RHINO RANGERS
HomeMichezo

TUMBO LILIMVURUGA PRINCE DUBE MBELE YA RHINO RANGERS

 VIVIER Bahati,  Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa mshambuliaji wao namba moja Prince Dube yupo vizuri licha ya jana kutomaliza dakika ...

 VIVIER Bahati,  Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa mshambuliaji wao namba moja Prince Dube yupo vizuri licha ya jana kutomaliza dakika 90 mbele ya Rhino Rangers. 



Wakati ubao wa Kambarage,  Shinyanga ukisoma Rhino Rangers 1-3 Azam FC katika mchezo wa Kombe la Shirikisho,  hatua ya robo fainali, Dube alitumia dakika 8 katika mchezo huo.


Walitolewa nje chini ya uangalizi wa madaktari wa Azam FC baada ya kushindwa kuendelea kucheza kwa kile kilichoelezwa kuwa ameumia.


Bahati amesema:"Dube yupo vizuri,  kabla ya mchezo alikuwa anasumbuliwa na tumbo ila lilikuwa sawa akaanza kucheza na alipoanza kucheza,  tumbo likamsumbua tena hivyo alitolewa na kupewa huduma ila kwa sasa yupo vizuri, ".


Ndani ya Ligi Kuu Bara ni namba moja kwa kutupia akiwa na mabao 14 akifuatiwa na Meddie Kagere wa Simba mwenye mabao 11.


Mchezo wao wa nusu fainali itakuwa dhidi ya Simba iliyoshinda mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji, utakaochezwa Uwanja wa Majimaji, Songea.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: TUMBO LILIMVURUGA PRINCE DUBE MBELE YA RHINO RANGERS
TUMBO LILIMVURUGA PRINCE DUBE MBELE YA RHINO RANGERS
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh-x57drH8AEOL-eyWvwRzQ4-oM6w4Ikm3BW2YJVStnBPhEWzPtJRBDxzQDNWOcge3uACKRy8rJH_fprKiQBsX1GYbaHDmRDuO-Z7ZSgEnLVt-6heEB9bgFdUJ_eLiDvf5ix8wf6AWL3Jnj/w632-h640/IMG_20210527_070641_153.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh-x57drH8AEOL-eyWvwRzQ4-oM6w4Ikm3BW2YJVStnBPhEWzPtJRBDxzQDNWOcge3uACKRy8rJH_fprKiQBsX1GYbaHDmRDuO-Z7ZSgEnLVt-6heEB9bgFdUJ_eLiDvf5ix8wf6AWL3Jnj/s72-w632-c-h640/IMG_20210527_070641_153.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/tumbo-lilimvuruga-prince-dube-mbele-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/tumbo-lilimvuruga-prince-dube-mbele-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy