YANGA KAZI INAENDELEA, MATIZI KAMA KAWAIDA
HomeMichezo

YANGA KAZI INAENDELEA, MATIZI KAMA KAWAIDA

  UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa unaendelea na maandalizi kwa ajili ya mechi zilizobaki ndani ya Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la...

VIDEO: MGUNDA: SIKUWAFUNDISHA MBINU ZA KUOTEA WACHEZAJI WANGU
VIDEO: SHABIKI WA SIMBA ATOA AHADI YA KUNYOLEWA NYWELE WAKIFUNGWA NA YANGA
MTAMBO WA MABAO WA AZAM FC KUIKOSA SIMBA

 


UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa unaendelea na maandalizi kwa ajili ya mechi zilizobaki ndani ya Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikisho.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mechi zilizobaki za ushindani ili wafanye vizuri.

"Kwa sasa tayari timu ipo kambini ikiendelea na mazoezi kwa ajili ya mechi zetu ambazo zimebaki ndani ya ligi pamoja na Kombe la Shirikisho.

"Ipo wazi kwamba ushindani ni mkubwa nasi tutapambana ili kupata matokeo chanya katika mechi ambazo zimebaki kikubwa mashabiki watupe sapoti.

"Wachezaji wapo tayari na kila mmoja anatambua kwamba tuna mechi za kucheza hivyo tupo tayari na tunaamini kwamba tutafanya vizuri," amesema.

Kwenye msimao wa ligi, Yanga ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 61 baada ya kucheza mechi 2. Ipo hatua ya nusu fainali kwenye Kombe la Shirikisho.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA KAZI INAENDELEA, MATIZI KAMA KAWAIDA
YANGA KAZI INAENDELEA, MATIZI KAMA KAWAIDA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhH-umXMM1JMX900i8sYUDVIN5tKhvf0-eftG-vIq-P2qb5kV4h5quWOCLn5G_2eYLJvgoT95RTkU4zz8AyZ7Bdpdqk1ZN3sxIAgrJbK38GQCpYYE9h5QG7cFNaGaaFsDK9sywUrj-fSnou/w640-h594/yangasc-196267603_532107721154079_7159679329504405108_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhH-umXMM1JMX900i8sYUDVIN5tKhvf0-eftG-vIq-P2qb5kV4h5quWOCLn5G_2eYLJvgoT95RTkU4zz8AyZ7Bdpdqk1ZN3sxIAgrJbK38GQCpYYE9h5QG7cFNaGaaFsDK9sywUrj-fSnou/s72-w640-c-h594/yangasc-196267603_532107721154079_7159679329504405108_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/yanga-kazi-inaendelea-matizi-kama.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/yanga-kazi-inaendelea-matizi-kama.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy