KIUNGO wa Azam FC, Mudhathir Yahaya amesema kuwa msimu wa 2020/21 ulikuwa mgumu na kilichowafanya washindwe kupata matokeo mbele ya Simba ni...
KIUNGO wa Azam FC, Mudhathir Yahaya amesema kuwa msimu wa 2020/21 ulikuwa mgumu na kilichowafanya washindwe kupata matokeo mbele ya Simba ni makosa yao na ameweka wazi kwamba alimwambia kipa wao mapema ila akwa mkaidi. Uwanja wa Azam Complex ubao ulisoma Azam FC 1-1 Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS