LUIS MIQUISSONE AWEKEWA OFA MBILI, AL AHLY YAWEKA DAU LA MAANA
HomeMichezo

LUIS MIQUISSONE AWEKEWA OFA MBILI, AL AHLY YAWEKA DAU LA MAANA

  IMERIPOTIWA kuwa Klabu ya Simba imepokea ofa mbili kutoka Ulaya kwa ajili ya Kiungo mshambuliaji wa kikosi hicho raia wa Msumbiji, Luis ...


 IMERIPOTIWA kuwa Klabu ya Simba imepokea ofa mbili kutoka Ulaya kwa ajili ya Kiungo mshambuliaji wa kikosi hicho raia wa Msumbiji, Luis Jose Miquissone ‘Konde Boy’ mwenye umri wa miaka 26 ambapo bado klabu hiyo inajadili ofa hizo.

 

Hata hivyo, mwandishi wa habari za michezo wa Ghana, Nuhu Adams ameripoti kuwa nyota huyo wa mabingwa wa Ligi Kuu Bara amekubali kujiunga na Mabingwa wa Afrika, Al Ahly ya Misri baada ya kukataa ofa ya kujiunga na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.

 

Taarifa kutoka Afrika Kusini zinadai ofa ya Kaizer Chiefs ya Shilingi Bilioni 1.6 imepigwa chini na Mnyama Simba huku Ahly wakiweka mezani kitita cha Tsh bilioni 2 kumnasa nyota huyo aliyejiunga Simba msimu wa akitokea UD Songo ya Msumbiji.

 

Iwapo atamalizana na Ahly, dau la Luis Miquissone litavunja rekodi kwa kuiingizia mkwanja Simba na kuwa usajili wa ghali zaidi kuwahi kufanyika kutoka Ligi Kuu Bara ukiacha lile la Emmanuel Okwi kutoka Simba kwenda Etoile du Sahel ya Tunisia lililogharimu dola 300,000 (sawa na Tsh milioni 695.7) mwaka 2013.


Tetesi hizo zinasema kuwa, Rais wa Al Ahly amempigia simu Miquissone na kumweleza dhamira ya kumhitaji huku Kaizer Chiefs ikikata tamaa kumpata Luis kutokana na dau kuwa kubwa.

 

Al Ahly tayari wamefanya mazungumzo na Miquissone na kufikia makubaliano,Miquissone anavutiwa sana kucheza chini ya Pitso Mosimane ambae waliwahi kufanya kazi pamoja wakiwa Mamelodi Sundowns.

 




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LUIS MIQUISSONE AWEKEWA OFA MBILI, AL AHLY YAWEKA DAU LA MAANA
LUIS MIQUISSONE AWEKEWA OFA MBILI, AL AHLY YAWEKA DAU LA MAANA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgtSISGZWp7OuK6vFnykw6TWok517IeCVEyg6COM8mGTY93_iNZvxtMfhG9QSYrw3SDTg3CsseALKmD7UqewwTRqNFT1u7k1ax1z2FN1BxeSkWBU7Z-HWLJUytVRrNEVS4YlYy-WRAScBqZ/w640-h426/Luis+kimata.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgtSISGZWp7OuK6vFnykw6TWok517IeCVEyg6COM8mGTY93_iNZvxtMfhG9QSYrw3SDTg3CsseALKmD7UqewwTRqNFT1u7k1ax1z2FN1BxeSkWBU7Z-HWLJUytVRrNEVS4YlYy-WRAScBqZ/s72-w640-c-h426/Luis+kimata.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/luis-miquissone-awekewa-ofa-mbili-al.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/luis-miquissone-awekewa-ofa-mbili-al.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy