NI WIKIENDI YA BIG MATCH KUNAKO EPL WIKIENDI HII
HomeMichezo

NI WIKIENDI YA BIG MATCH KUNAKO EPL WIKIENDI HII

Ligi Kuu Soka nchi Uingereza inaendelea kuchanja mbuga, ni wiki ya 3 katika msimu huu wa 2021/22. Burudani ndio kwanza inaanza! Big Match ...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
KAMATI YA MASAA 72 YATOA TAARIFA KUHUSU SIMBA V YANGA
VIDEO: NAHODHA WA KIGOMA SISTER ANANDOTO ZA KUWA REFA WA KIMATAIFA

Ligi Kuu Soka nchi Uingereza inaendelea kuchanja mbuga, ni wiki ya 3 katika msimu huu wa 2021/22. Burudani ndio kwanza inaanza! Big Match kuipamba wikiendi hii.

 

Ijumaa hii, Nantes watapambana na Lyon kunako Ligue 1 kule nchini Ufaransa. Huu ni mchezo ambao ukiwa ndani ya Meridianbet, unaweza kutengeneza faida kubwa. Ifuate Odds ya 1.85 kwa Lyon wikiendi hii.

 

Macho ya wapenzi wa soka la Ulaya na EPL kwa ujumla yatakuwa pale Etihad Stadium Jumamosi hii. Mchana kweupe, Manchester City kuwaalika Arsenalkatika mchezo wa 3 wa EPL. Huu ni mchezo ambao Arsenal anaingia akiwa na machungu ya kupoteza michezo miwili ya EPL huku City akiwa amepoteza mmoja na kushinda mmoja. Yote 9, 10 ni Odds ya 1.24 ambayo wamepewa City ndani ya Meridianbet. Pep Gurdiola vs Mikel Arteta, hii ni vita ya baba dhidi ya mtoto wake.


Jumamosi usiku, tutahamia Anfield. Naam!!! Huku utapigwa mchezo kati yaLiverpool vs Chelsea. Huku Mo Salah kule Romelu Lukaku. Timu zote mbili zimeuanza vizuri msimu huu, zimeshakusanya pointi 6 kwenye michezo 2 ya mwanzo, mchezo wa 3 nani kumzidi mwenzake kete? Ifuate Odds ya 2.50 kwa Liverpool ndani ya Meridianbet.

 

Pale Molineux Stadium, Wolverhampton Wanderers kumenyana na Manchester United jumapili hii. Wolves ataingia kwenye mchezo huu akiwa ametoka kupoteza michezo miwili ya awali huku United akiwa ameshinda na kutoka sare mchezo mmoja. Hakika huu ni mchezo wa muhimu wa timu zote mbili, dakika 90 kuamua nani anauchungu zaidi na pointi 3 au wataamua kugawana. Bashiri kupitia Meridianbet na uifuate Odds ya 1.90 kwa United.

 

Jumatatu hii, tutahamia kwenye LaLiga Santander. Real Zaragoza kuchuana na Cartagenakatika mchezo wa 3 kunako ligi hiyo. Ukiwa na nyumba ya mabingwa, huna sababu ya kuufikiria ushindi. Odds ya 2.20 inakusubiri kwa Zaragoza ndani ya Meridianbet.

 

Ni Msimu Mpya na Vibe Jipya Ndani ya Meridianbet!

 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NI WIKIENDI YA BIG MATCH KUNAKO EPL WIKIENDI HII
NI WIKIENDI YA BIG MATCH KUNAKO EPL WIKIENDI HII
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgUIGFwfFln3W9z99gyzVUw35Ai5YwIcPX39iGoHMaBljqnlvyBuS3Cvij0X9hn-3kOxN1rBf1AsLBhg_Dd1j1081EJE6mPDuI8MAhN6Js5TOPsIwXoz0auZ8FAgQ4RTW7wujplYXUbR-0i/w640-h360/Saka_16.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgUIGFwfFln3W9z99gyzVUw35Ai5YwIcPX39iGoHMaBljqnlvyBuS3Cvij0X9hn-3kOxN1rBf1AsLBhg_Dd1j1081EJE6mPDuI8MAhN6Js5TOPsIwXoz0auZ8FAgQ4RTW7wujplYXUbR-0i/s72-w640-c-h360/Saka_16.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/ni-wikiendi-ya-big-match-kunako-epl.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/ni-wikiendi-ya-big-match-kunako-epl.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy