PICHANI ni mshindi wa bonasi ya Jackpot Abdallah Ramadhani Korongo mwenye umri wa miaka 29 kutoka Dodoma. Korongo ameshikilia mfano w...
PICHANI ni mshindi wa bonasi ya Jackpot Abdallah Ramadhani Korongo mwenye umri wa miaka 29 kutoka Dodoma.
Korongo ameshikilia mfano wa hundi ya shilingi 10,389,751/- za kitanzania baada ya kuibuka mshindi wa bonasi ya Jackpot kutoka SportPesa.
Kijana huyo Karongo alibashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 za Jackpot. Wiki hii Jackpot ya SportPesa ni shilingi 450,150,500.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS