HomeHabariTop Stories

Rwanda yapata dozi 1,000 ya chanjo ya virusi vya Marburg

Taasisi ya Chanjo ya Sabin imetoa takriban dozi 1,000 za chanjo kwa Rwanda, ili kuongeza juhudi za kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa viru...

TBS yafungua mashindano ya tuzo za ubora 2024/2025
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 15, 2024
Mpox yatangazwa kuwa dharura ya afya barani Afrika -CDC

Taasisi ya Chanjo ya Sabin imetoa takriban dozi 1,000 za chanjo kwa Rwanda, ili kuongeza juhudi za kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Marburg.

Hii ni takriban siku 10 kufuatia taasisi hiyo kutoa dozi 700 za chanjo, siku chache baada ya mlipuko wa homa ya Marburg kuthibitishwa nchini Rwanda.

Oktoba 6, mamlaka ya afya ya Rwanda ilianza kutoa chanjo kwa wahudumu wa afya walio mstari wa mbele ikiwa ni sehemu ya majaribio ya awamu ya pili ya kukabiliana na ugonjwa huo. Hadi kufikia Jumamosi, dozi 620 za chanjo zilikuwa zimetolewa.

Utoaji wa chanjo hiyo unasimamiwa kwa mujibu wa itifaki ambayo imepitiwa na kuidhinishwa na mamlaka za Rwanda.

The post Rwanda yapata dozi 1,000 ya chanjo ya virusi vya Marburg first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/enY58LT
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rwanda yapata dozi 1,000 ya chanjo ya virusi vya Marburg
Rwanda yapata dozi 1,000 ya chanjo ya virusi vya Marburg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/10/rwanda-yapata-dozi-1000-ya-chanjo-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/10/rwanda-yapata-dozi-1000-ya-chanjo-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy