COASTAL UNION: ILIKUWA MIPANGO YA MUNGU KUIFUNGA YANGA
HomeMichezo

COASTAL UNION: ILIKUWA MIPANGO YA MUNGU KUIFUNGA YANGA

 JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa ushindi wake mbele ya Yanga ni mipango ya Mungu kwa kuwa yeye ni muweza wa yote. J...

USHINDI MEZANI NA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET!
ISHU YA KANE KUSEPA SPURS BADO NGOMA NZITO
MAPAMBANO YANAENDELEA KATIKA LIGI MBALIMBALI BARANI ULAYA

 JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa ushindi wake mbele ya Yanga ni mipango ya Mungu kwa kuwa yeye ni muweza wa yote.

Jana, Machi 4 ilikuwa ni vita ya kibabe Uwanja wa Mkwakwani, dakika 90 ubao ulisoma Coastal Union 2-1 Yanga.

Ushindi huo unaifanya Coastal Union kuwa timu ya kwanza kusepa na pointi tatu mazima mbele ya Yanga ya Yanga Cedric Kaze ambayo ilipoteza mchezo wake wa kwanza msimu wa 2020/21.

Akizungumza na Saleh Jembe, Mgunda amesema kuwa hawakuwa na namna ya kufanya ila mpango wa Mungu ulitimia.

"Hakukuwa na namna ya kufanya kwani vijana wangu niliwaambia kwamba mchezo utakuwa mgumu wanapaswa wapambane ndani ya uwanja.

"Mungu amejibu maombi yetu nasi tumeshinda hivyo ni fuaraha kwetu na mashabiki wetu, mapambano bado yanaendelea," amesema. 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: COASTAL UNION: ILIKUWA MIPANGO YA MUNGU KUIFUNGA YANGA
COASTAL UNION: ILIKUWA MIPANGO YA MUNGU KUIFUNGA YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi6rele0DKGg37N5TA-8I3Lj4EOoTfRF8_fX7eNTvZYtga6CuKn96GWISNrzywi7fB7eUlsmw5k8K_fkWOcY4DtQdByn6US7nMqo9-s79H4yglRxaVf7p1viywAprM_IP6Jp9sFy36b_EFS/w634-h640/Mkwakwani.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi6rele0DKGg37N5TA-8I3Lj4EOoTfRF8_fX7eNTvZYtga6CuKn96GWISNrzywi7fB7eUlsmw5k8K_fkWOcY4DtQdByn6US7nMqo9-s79H4yglRxaVf7p1viywAprM_IP6Jp9sFy36b_EFS/s72-w634-c-h640/Mkwakwani.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/coastal-union-ilikuwa-mipango-ya-mungu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/coastal-union-ilikuwa-mipango-ya-mungu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy