FREDRICK Mwakalebela, Makamu Mwenyekiti wa Yanga ameweka wazi kwamba tayari vijana wameshajua namna ya kuendelea kupata ushindi ambapo kuele...
FREDRICK Mwakalebela, Makamu Mwenyekiti wa Yanga ameweka wazi kwamba tayari vijana wameshajua namna ya kuendelea kupata ushindi ambapo kuelekea kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho wanaamini kwamba watakwenda kushinda mbele ya Simba katika mchezo ujao huku wakiwa na imani kwamba wana uwezo wa kutwaa ubingwa wa ligi, Kombe la Shirikisho na lile la Mapinduzi ambalo wameshalichukua.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS