DIDA: BADO TUNA NAFASI YA KUBAKI NDANI YA LIGI
HomeMichezo

DIDA: BADO TUNA NAFASI YA KUBAKI NDANI YA LIGI

  KIPA namba moja wa kikosi cha Ihefu ya Mbeya kinachonolewa na Kocha Mkuu, Zuber Katwila, Deogratius Munish, 'Dida' amesema kuwa ...


 KIPA namba moja wa kikosi cha Ihefu ya Mbeya kinachonolewa na Kocha Mkuu, Zuber Katwila, Deogratius Munish, 'Dida' amesema kuwa ikiwa wataongeza juhudi timu hiyo itabaki ndani ya Ligi Kuu Bara msimu ujao.

Dida amekaa langoni kwenye mechi 9 ambazo ni dakika 810 kati ya 24 ambazo timu hiyo imecheza.

Ameokota nyavuni jumla ya mabao 15 kati ya 34 ambayo timu hiyo imefungwa ana wastani wa kufungwa bao moja kila baada ya dakika 54.

Ihefu FC ipo nafasi ya 17 ina pointi 20 jambo ambalo linawafanya wawe kwenye hatari ya kushuka daraja ikiwa hawataongeza juhudi kusaka ushindi kwenye mechi zao zijazo.

Mkongwe huyo ambaye amepata nafasi ya kucheza pia ndani ya Yanga, Simba na Lipuli amesema kuwa bado anaamini kikosi hicho kina nafasi ya kubaki ndani ya ligi.

"Ni kweli matokeo ambayo yamekuwa yakipatikana ni magumu kwetu hasa pale timu inapopoteza, lakini nina amini kwamba bado kuna nafasi ya kubaki kwenye ligi ikiwa tutaongeza juhudi.

"Yapo makosa ambayo tumekuwa tukiyafanya jambo ambalo linatufanya tushindwe kupata matokeo nina amini kwamba benchi la ufundi linaona na litayafanyia kazi makosa yetu," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: DIDA: BADO TUNA NAFASI YA KUBAKI NDANI YA LIGI
DIDA: BADO TUNA NAFASI YA KUBAKI NDANI YA LIGI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg2UEu1NHwHx8KByapl2XMU2nFYUsUtdqWEfs6xrYehl18OdRd9PDFei8IxDdvdQfMKWiiXDR8Q_inOR3wcxF62k_UuRh21QuUiVcK2zgDa9rSaHAVMePfOb0SvmNoHYcYWssO3fwTqADn-/w548-h640/Dida+Ihefu.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg2UEu1NHwHx8KByapl2XMU2nFYUsUtdqWEfs6xrYehl18OdRd9PDFei8IxDdvdQfMKWiiXDR8Q_inOR3wcxF62k_UuRh21QuUiVcK2zgDa9rSaHAVMePfOb0SvmNoHYcYWssO3fwTqADn-/s72-w548-c-h640/Dida+Ihefu.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/dida-bado-tuna-nafasi-ya-kubaki-ndani.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/dida-bado-tuna-nafasi-ya-kubaki-ndani.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy