PEP GUARDIOLA KUSEPA MANCHESTER CITY
HomeMichezo

PEP GUARDIOLA KUSEPA MANCHESTER CITY

  PEP Guardiola amesema kuwa ataondoka Manchester City mkataba wake utakapomalizika mnamo 2023 na anatarajia kuifundisha timu ya taifa.  ...

HIKI HAPA KIKOSI CHA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA
YANGA YAWAFUATA KAGERA SUGAR KWA KUJIAMINI
SIMBA KUIBUKIA KWA WANAJESHI WA MPAKANI

 PEP Guardiola amesema kuwa ataondoka Manchester City mkataba wake utakapomalizika mnamo 2023 na anatarajia kuifundisha timu ya taifa.

 

Mkufunzi huyo mwenye umri wa miaka 50, aliyejiunga na City mwaka 2016, amepanga “kupata mapumziko” baada ya miaka saba akiifunza klabu hiyo ya Ligi Kuu Uingereza.

 

“Nadhani nitasimama. Nitalazimika kupumzika, angalia kile tumefanya,” Guardiola alisema.

“Hatua inayofuata itakuwa timu ya taifa, ikiwa kuna uwezekano.”

 

Akizungumza kwenye hafla iliyofanyika kwa njia ya mtandao iliyoandaliwa na kampuni ya huduma za kifedha ya Brazil XP Investimentos, na kunukuliwa na ESPN Brasil, aliongeza: “Ningependa kufundisha timu ya Amerika Kusini, Ulaya, inayocheza Copa America, nataka kuwa na uzoefu huo," .

 

 Habari hiyo ilikuja kama pigo kwa City siku hiyo hiyo ambayo mbio zao za kumsajili mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane zilifikia kikomo huku nahodha huyo wa England akithibitisha kuwa atasalia na klabu yake.

 

Guardiola, alichukua mapumziko ya miezi 12 baada ya kuondoka Barcelona mnamo mwaka 2012 kabla ya kujiunga na Bayern Munich.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: PEP GUARDIOLA KUSEPA MANCHESTER CITY
PEP GUARDIOLA KUSEPA MANCHESTER CITY
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEifB12o9jdvmKCQqBUtSLvqfrJ7_bngmmxxD1IHzbIG29DnZ4LWNVq__a4d5MOlV-qvZSqKBFwPSmtVyDgKpYR2QnITmdb9vgLjYAuivMnmtYpPhSPADVI8h-NYyAUH98ceYWaKF6fs9a4A/w640-h360/Guardiola.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEifB12o9jdvmKCQqBUtSLvqfrJ7_bngmmxxD1IHzbIG29DnZ4LWNVq__a4d5MOlV-qvZSqKBFwPSmtVyDgKpYR2QnITmdb9vgLjYAuivMnmtYpPhSPADVI8h-NYyAUH98ceYWaKF6fs9a4A/s72-w640-c-h360/Guardiola.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/pep-guardiola-kusepa-manchester-city.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/pep-guardiola-kusepa-manchester-city.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy