SIMBA: TUTAWAFUNGA YANGA KWA KANUNI
HomeMichezo

SIMBA: TUTAWAFUNGA YANGA KWA KANUNI

ZIKIWA zimebaki siku mbili kuwakutanisha watani wa jadi, Simba na Yanga Uwanja wa Mkapa, Julai 3, taarifa kutoka benchi la ufundi la Simba...

METACHA,MAKAPU WAANZA KWA MAFANIKIO MAISHA MAPYA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
ORODHA YA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA WALIOANZA MAZOEZI

ZIKIWA zimebaki siku mbili kuwakutanisha watani wa jadi, Simba na Yanga Uwanja wa Mkapa, Julai 3, taarifa kutoka benchi la ufundi la Simba limeweka wazi kwamba litawafunga Yanga kwa kanuni.

Mchezo wa awali ulipangwa kuchezwa Mei 8 uliyeyuka baada ya Yanga kugomea mabadiliko ya muda ghafla kwa kuwa awali ulipangwa kuchezwa saa 11:00 kabla ya Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) Cliford Ndimbo kutoa taarifa kwamba kutakuwa na mabadiliko ya muda mpaka saa 1:00 usiku.

Mtoa taarifa kutoka ndani ya benchi la ufundi la Simba amesema kuwa wataingia uwanjani kwa tahadhari ili waweze kuwafunga wapinzani wao kwa kanuni.


“Hamna namna kwenye ligi jambo la msingi ni pointi tatu, sasa ambacho tutakifanya ni kuwafunga wapinzani wetu Yanga kwa kanuni, wao waliondoka na hatujui kilichowakuta basi tusubiri na tuone itakavyokuwa,” ilieleza taarifa hiyo.

Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes amesema kuwa mchezo huo utakuwa mgumu ila watapambana kupata pointi tatu muhimu.

"Utakuwa mchezo mgumu na kila timu inahitaji ushindi hilo lipo wazi tutaingia kwa hesabu za kusaka ushindi na wapinzani wetu tunawaheshimu," .

Kwenye msimamo Simba ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 73 baada ya kucheza mechi 29 na Yanga ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 67 baada ya kucheza mechi 31.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA: TUTAWAFUNGA YANGA KWA KANUNI
SIMBA: TUTAWAFUNGA YANGA KWA KANUNI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwtStmky6HuOuqKIsnyiuk2Uo-gVkvTnSpEyjV2Rx4qn4O43ymgsDhNeO0odtzouhOBI64-SjYdlV9JiXqUUAxbfjG0-E6Eq9FszjOtRUVeRC4o2loZfrKlLUTWxwIbgDPkc8QNDhIR3PA/w640-h342/Luis+v+Yanga.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwtStmky6HuOuqKIsnyiuk2Uo-gVkvTnSpEyjV2Rx4qn4O43ymgsDhNeO0odtzouhOBI64-SjYdlV9JiXqUUAxbfjG0-E6Eq9FszjOtRUVeRC4o2loZfrKlLUTWxwIbgDPkc8QNDhIR3PA/s72-w640-c-h342/Luis+v+Yanga.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/simba-tutawafunga-yanga-kwa-kanuni.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/simba-tutawafunga-yanga-kwa-kanuni.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy