TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars jana Oktoba 4 ilianza mazoezi, Uwanja wa Mkapa kwa ajili ya maandalizi ya ya kujiaandaa na mche...
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars jana Oktoba 4 ilianza mazoezi, Uwanja wa Mkapa kwa ajili ya maandalizi ya ya kujiaandaa na mchezo dhidi ya Benin Oktba 7.
Hawa hapa ni wachezaji walioanza mazoezi chini ya Kim Poulsen ambaye ni Kocha Mkuu.
Makipa
Ramadhan Kabwili
Metacha Mnata
Aishi Manula
Wilbol Maseke
Mabeki
Kibwana Shomari
Edward Manyama
Kenedy Juma
Mohamed Hussein
Dickson Job
Nickson Kibabage
Kiungo
Sopu
Mzamiru Yassin
Feisal Salum
Idd Seleman
Washambuliaji
John Bocco
Kibu Denis
Meshack Abraham
Relliants Lusajo
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS