Taarifa Ya Jeshi La Polisi Mkoa Wa Mwanza
HomeHabari

Taarifa Ya Jeshi La Polisi Mkoa Wa Mwanza

Ajali ya moto. Tarehe 09.03.2021 majira ya saa 15:00hrs huko kambi ya uvuvi Migongo, kata ya Maisome, wilaya ya Sengerema. Mtu mmoja ali...


Ajali ya moto.
Tarehe 09.03.2021 majira ya saa 15:00hrs huko kambi ya uvuvi Migongo, kata ya Maisome, wilaya ya Sengerema. Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Mussa Adward, Msukuma, miaka 37, mkazi wa mtaa wa Misheni aliyekuwa anafanya kazi ya kubeba mizigo (kuli) mkazi  wa Maisome,  alifariki dunia baada ya kuungua moto wakati akiingiza pipa lililokuwa na mafuta ya petroli  ndani ya kibanda cha kuuzia mafuta. Inadaiwa pipa lilipasuka na petroli  kutiririka mpaka kwenye kibanda kilichokuwa na moto  ambacho hutumika kuchomea viazi (chips) na kusababisha moto kuwaka na kusambaa sehemu kubwa.

Hata hivyo, jitihada zilizofanywa na jeshi la polisi kwa kushirikiana na wananchi zilifanikiwa kuuzima moto huo.

Inadaiwa chanzo cha moto huo ni kuvuja kwa petroli iliyokuwa kwenye pipa lililotoboka wakati wa kuingizwa kwenye kibanda ambapo petroli ilitiririka mpaka kwenye kibanda cha kuchomea viazi (chips). Vibanda zaidi ya 40 vimeteketea kwa moto, tathimini ya mali iliyoteketea bado inafanyika ili kujua thamani halisi ya mali zote zilizoteketea.

Jeshi la polisi mkoa wa mwanza linawataka wananchi kuchukua tahadhari  wawapo katika shughuli mbambali kwa kuangalia usalama wao na wawengine.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Taarifa Ya Jeshi La Polisi Mkoa Wa Mwanza
Taarifa Ya Jeshi La Polisi Mkoa Wa Mwanza
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhvapiWrsZ-caIUYrPnfZd0NULIOnWmU_ibIVBV9lHrCjGXK9N5MRWgzoXdOrIMcf0w-19ETHTwH6kd7qPli2chOEEI_0jWwfmyy6SKb2-HRv_FNjwM6ml27memE-DtP_cylxNioXeT642n/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhvapiWrsZ-caIUYrPnfZd0NULIOnWmU_ibIVBV9lHrCjGXK9N5MRWgzoXdOrIMcf0w-19ETHTwH6kd7qPli2chOEEI_0jWwfmyy6SKb2-HRv_FNjwM6ml27memE-DtP_cylxNioXeT642n/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/taarifa-ya-jeshi-la-polisi-mkoa-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/taarifa-ya-jeshi-la-polisi-mkoa-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy