YANGA YAFUNGUKIA ISHU YA DJUMA
HomeMichezo

YANGA YAFUNGUKIA ISHU YA DJUMA

  B AADA ya Yanga  kukamilisha  usajili wa  aliyekuwa beki wa  kulia wa AS Vita,  Shaban Djuma, beki  wa kulia wa Yanga, Kibwana Shomari  ...


 BAADA ya Yanga kukamilisha usajili wa aliyekuwa beki wa kulia wa AS Vita, Shaban Djuma, beki wa kulia wa Yanga,Kibwana Shomari ameufungukia usajili huo, huku akimkaribisha ndani ya klabu hiyo.

 

Kibwana na Djuma wote wanacheza nafasi moja wakiungana na Paul Godfrey, 'Boxer' katika kuwania namba kwenye kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Nasreddine Nabi.

 

Akizungumza na Spoti Xtra, Kibwana alisema ujio wa Djuma ndani ya Yanga sio suala geni kwenye mpira kwani ili timu iweze kuwa bora basi huhitaji kuwa na wachezaji bora kwa manufaa ya pamoja.

 

“Suala la Yanga kusajili beki mwingine wa kulia sio geni kwenye mpira, hivyo mtu kutoka sehemu moja kwenda nyingine kama ilivyotokea kwa Djuma ni vitu vya kawaida na mpira ndio ulivyo, hata sisi hatukuwa hapa lakini leo tupo Yanga.

 

"Ni faida kwa timu yetu kuwa na wachezaji bora ili kuisaidia timu kufanya vizuri, hivyo muhimu ni kutimiza majukumu ambayo mwalimu anatupatia wachezaji kwa ajili ya kufikia malengo yetu, kama ni kweli amesajiliwa na Yanga tunamkaribisha,” alisema beki huyo.




Djuma tayari amesaini dili la miaka miwili kuitumikia Yanga akitokea Klabu ya AS Vita ya Congo ambapo alikuwa ni beki tegemeo kikosi cha kwanza.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA YAFUNGUKIA ISHU YA DJUMA
YANGA YAFUNGUKIA ISHU YA DJUMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEitSqce1v7T0_SbL6dZszsx4JBsKF-BC8JdbY6R9MHGvej_LAdKSW6UbME9YwO_zf2bOOBLDBg8ElBJFQTfc0NqTEjF6ubRHxuwkV4Z-e3WfOUsnXrKyc11InmcVVrFW60qezjT5ox2g94J/w640-h640/Djuma+bana.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEitSqce1v7T0_SbL6dZszsx4JBsKF-BC8JdbY6R9MHGvej_LAdKSW6UbME9YwO_zf2bOOBLDBg8ElBJFQTfc0NqTEjF6ubRHxuwkV4Z-e3WfOUsnXrKyc11InmcVVrFW60qezjT5ox2g94J/s72-w640-c-h640/Djuma+bana.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/yanga-yafungukia-ishu-ya-djuma.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/yanga-yafungukia-ishu-ya-djuma.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy