KUMBE! BERNARD MORISSON SABABU YA BANDA KUONGEA KISWAHILI
HomeMichezo

KUMBE! BERNARD MORISSON SABABU YA BANDA KUONGEA KISWAHILI

  WINGA mpya wa Simba,  Peter Banda amesema   kuwa ameanza kuyazoea   mazingira mapya ya klabu hiyo  kupitia kwa Bernard Morrison  ambaye ...

GREALISH TAMBO KIBAO KISA KUFUNGA
VIDEO: ISSA AZAM APOKELEWA NDANI YA SIMBA RASMI
YANGA YAPANIA KUPINDUA MEZA KIBABE NIGERIA

 WINGA mpya wa Simba, Peter Banda amesema  kuwa ameanza kuyazoea  mazingira mapya ya klabu hiyo 
kupitia kwa Bernard Morrison ambaye mara nyingi amekuwa  akimchangamsha na kumfundisha namna ya kuzungumza Kiswahili  kwa haraka zaidi.


Banda amesajiliwa na Simba katika  dirisha hili kubwa la usajili akitokea  katika Klabu ya Nyassa Big Bullet ya nchini Malawi ambapo winga huyo anatabiriwa kuja kurithi mikoba ya Luis Miquissone aliyetimka ndani ya klabu hiyo.


Akizungumza na Championi Jumatano, Banda alisema kuwa, ameanza kuyazoea mazingira ya Simba kwa haraka zaidi kutokana na kuchangamshwa na Morrison kwa wachezaji wenzake huku akiweka wazi kuhamasishwa na Morrison kuzungumza Kiswahili huku akianza kumfundisha baadhi ya maneno machache.


“Morrison mara nyingi amekuwa akinitania kupitia wachezaji wa Simba, ghafla nimejikuta nikitaniana na wachezaji wengi jambo ambalo limenifanya niwazoee mapema wachezaji wengi wa Simba, sipo kimya kama mara ya kwanza wakati tunaanza safari ya kuelekea Morroco kwa sasa nimechangamka zaidi.

 


“Morrison pia amekuwa akinihimiza kujifunza jinsi ya kuongea Kiswahili kwa haraka, mara nyingi huwa ananifundisha
maneno machache ya Kiswahili na mara nyingi nikikosea huwa anafurahi akinihimiza nisikosee, namshukuru sana,” alisema winga huyo.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KUMBE! BERNARD MORISSON SABABU YA BANDA KUONGEA KISWAHILI
KUMBE! BERNARD MORISSON SABABU YA BANDA KUONGEA KISWAHILI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiWiq8FRueV6OKlA-SvRBIrCHjELZSWRlz5hB5RsbUryI9_RvSRmVIYsLryVFKyVO_9qIX1KQh6Ryq97yPWt8qeD9OXjGjmc-YpA2lb05EejBBN8yo291TPaO1EIU4eJ017W587AQHJkeRh/w640-h428/Morison+Morocco.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiWiq8FRueV6OKlA-SvRBIrCHjELZSWRlz5hB5RsbUryI9_RvSRmVIYsLryVFKyVO_9qIX1KQh6Ryq97yPWt8qeD9OXjGjmc-YpA2lb05EejBBN8yo291TPaO1EIU4eJ017W587AQHJkeRh/s72-w640-c-h428/Morison+Morocco.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/kumbe-bernard-morisson-sababu-ya-banda.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/kumbe-bernard-morisson-sababu-ya-banda.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy