IGP Sirro Awataka Wananchi Msidanganywe Kuhusu Chanjo Ya Corona
HomeHabari

IGP Sirro Awataka Wananchi Msidanganywe Kuhusu Chanjo Ya Corona

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amewataka Wananchi na Watanzania kwa ujumla wasidanganywe na watu wa chache au kikundi c...

Vichwa Vitatu Vya Treni Ya Reli Ya Kati Vyawasili
uteuzi wa Kamati ya kuratibu mashindanio ya CANAF
Hekta 9,800 kutumika Mradi wa Eneo Maalum la Kiuchumi Bagamoyo


Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, amewataka Wananchi na Watanzania kwa ujumla wasidanganywe na watu wa chache au kikundi cha watu wanaowahamasisha kwa njia mbalimbali ikiwemo mitandao ya kijamii kuto kuchanjwa chanjo ya Uviko-19 ambapo zoezi la uchanjwaji wa chanjo hiyo lilizinduliwa jana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Dar es salaam.

IGP Sirro amesema hayo leo wakati wakiandikishiana hati ya makubaliano kati ya Shirika la Bima la Taifa na Jeshi la Polisi kupitia Shirika lake la Uzalishajimali ambapo shirika hilo litaweza kuwa wakala wa bima za maisha na ajali kwa watendaji wa Jeshi hilo la Polisi pamoja na familia zao huku Jeshi hilo likitoa ahadi ya kutanua wigo ili bima hiyo ya maisha iweze kuwafikia hata waendesha pikipiki maarufu bodaboda.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa Dkt. Elirehema Joshua amesema kuwa licha ya kuwepo kwa idadi ndogo ya wananchi wenye ufahamu wa masuala ya bima za maisha, ajali na mali ambapo kupitia shirika la uzalishajimali la Jeshi la Polisi litakuwa na wigo mpana wa kuwafikia wananchi pamoja na kuwezesha Watanzania wote kupata elimu na huduma zote za bima zinazopatikana nchini.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: IGP Sirro Awataka Wananchi Msidanganywe Kuhusu Chanjo Ya Corona
IGP Sirro Awataka Wananchi Msidanganywe Kuhusu Chanjo Ya Corona
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi8fxxAhHW01Bx-rtjjEo19JQNMbfq1yMsU0qp74b5ruIfCtDQrkKu_lDtBdXoZ6noXJSau0DfhYVkpNmBshbTZk4-tnySC4ybr22vyU79RGmzYVhWmHHl5RqeWX-0tk8cR7jG3PFOHbllV/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi8fxxAhHW01Bx-rtjjEo19JQNMbfq1yMsU0qp74b5ruIfCtDQrkKu_lDtBdXoZ6noXJSau0DfhYVkpNmBshbTZk4-tnySC4ybr22vyU79RGmzYVhWmHHl5RqeWX-0tk8cR7jG3PFOHbllV/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/igp-sirro-awataka-wananchi-msidanganywe.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/igp-sirro-awataka-wananchi-msidanganywe.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy