LEO Februari 20, Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo timu tatu zitakuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu. KMC iliyo nafasi ya 6 n...
LEO Februari 20, Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo timu tatu zitakuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu.
KMC iliyo nafasi ya 6 na pointi 28 itawakaribisha Kagera Sugar iliyo nafasi ya 10 na pointi 24 ngoma itachezwa Uwanja wa Uhuru.
Ihefu FC ipo nafasi ya 16 na pointi 17 itawakaribisha Mwadui FC iliyo nafasi ya 18 na pointi 15 ngoma inapigwa Uwanja wa Highland Estate.
Yanga inayoongoza ligi ikiwa na pointi 46 inawakaribisha Mtibwa Sugar ipo nafasi ya 11 na pointi 23 ni pale Uwanja wa Mkapa.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS