Infinix Yanyakua Tuzo Ya Nidhamu Duniani 2021.
HomeHabari

Infinix Yanyakua Tuzo Ya Nidhamu Duniani 2021.

- Kampuni ya simu Infinix yenye Makao Makuu Hong Kong imeibuka kidedea baada ya toleo mama la kampuni hiyo-Infinix ZERO kujinyakulia tuzo...

- Kampuni ya simu Infinix yenye Makao Makuu Hong Kong imeibuka kidedea baada ya toleo mama la kampuni hiyo-Infinix ZERO kujinyakulia tuzo ya nidhamu kwenye kitengo cha bidhaa bora ya mawasiliano yenye muonekano wakuvutia zilizotolewa na IF DESIGN kwa mwaka huu wa 2021. https://ifworlddesignguide.com/entry/307548-infinix-zero-8
 
Infinix ZERO 8 ilishinda baraza la washiriki 98 linaloundwa na wataalamu wakujitegemea kutoka ulimwenguni kote, design ya Infinix ZERO 8 iliyotawaliwa na mzunguko wa kioo na chuma, sifa nyengine zilizoifanya Infinix ZERO 8 kuibuka kinara ni display ya nch 6.85 FHD+ camera yenye uwezo wa kunasa matukio kila pembe. Ushindani ulikuwa ni mkubwa takribani nchi 52 ziliweka muhuri wa kukubalia Infinix ZERO 8 ndio simu bora kwenye kipengele cha nidhamu ya mawasiliano baada ya kuyapiga chini makampuni mengine ya simu. http://www.infinixmobility.com/ 


IF DESIGN huandaliwa kila mwaka na shirika la ubunifu ulimwenguni Hannover-based If international Forum Design GmbH. Tuzo za IF DESIGN ni tuzo zenye kujumuisha bidhaa zote zenye muonekana wa kuvutia, kipekee na imara. IF DESIGN imekuwa ikitoa tuzo hizi kwa kupambanisha bidhaa kwenye taaluma zifuatazo nidhamu, ufungashaji (packaging), ubunifu wa huduma, usanifu na usanifu wa mambo ya ndani pamoja na dhamana ya utaalamu.


Na msemo wake wa THE FUTURE IS NOW, Infinix inakusudia kuwapa nguvu vijana wa leo kujitokeza katika um ana kuonyesha ulimwengu wanachokiamini na kukisimamia.


Bidhaa za Infinix zinapatikana zaidi ya nchi 40 ulimwenguni, zikijumuisha Afrika, Amerika kusini, Mashariki ya kati na Kusini mwa Asia. Infinix kwa mwaka wa 2018-2020 imekuwa kwa kasi ya 160% kiasi cha kushangaza na huku kila leo ikija na mikakati mbalimbali kufikia watu wengi zaidi kupitia matangazo ya mitandaoni na uzalishaji wa simu zenye teknolojia ya hali ya juu.





Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Infinix Yanyakua Tuzo Ya Nidhamu Duniani 2021.
Infinix Yanyakua Tuzo Ya Nidhamu Duniani 2021.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjRpZbBjeJRULHPNPX-h8j0VXmAf85H9YqqPMAHY2Pt0ulj1QtLmOMKiP2mSSgcw0qF3N-Bb62uFCEuswIJxza7FKmrSZgbQ9bqxcMynTZnNmYZi_22iNz2Rzg5lbLyXIfl5ruHF92G7bTa/s16000/1.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjRpZbBjeJRULHPNPX-h8j0VXmAf85H9YqqPMAHY2Pt0ulj1QtLmOMKiP2mSSgcw0qF3N-Bb62uFCEuswIJxza7FKmrSZgbQ9bqxcMynTZnNmYZi_22iNz2Rzg5lbLyXIfl5ruHF92G7bTa/s72-c/1.png
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/infinix-yanyakua-tuzo-ya-nidhamu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/infinix-yanyakua-tuzo-ya-nidhamu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy