Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limesema halijaridhia kuenguliwa kwa Miss Tanzania 2020/2021 Rosey Manfere, kushiriki mashindano ya Miss ...
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limesema halijaridhia kuenguliwa kwa Miss Tanzania 2020/2021 Rosey Manfere, kushiriki mashindano ya Miss World yanayotarajiwa kufanyika Desemba mwaka huu Peutro Rico.
Credit: MPEKUZI
Thanks for your time please share with your friends
COMMENTS