Ubalozi wa Tanzania Nigeria waendesha jukwaa kuvutia uwekezaji nchini
HomeHabariTop Stories

Ubalozi wa Tanzania Nigeria waendesha jukwaa kuvutia uwekezaji nchini

KATIKA kuhakikisha fursa za Tanzania zinatangazwa uptia diplomasia ya uchuni, Ubalozi wa Tanzania nchini Nigeria, umeendesha jukwaa la kuvut...

Picha:kikao cha shirikisho la askari wa Kike Ukanda wa Africa nchini Marekani
Washiriki wa mkutano wajengewa uwezo katika upigaji wa shabaha
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 5, 2024

KATIKA kuhakikisha fursa za Tanzania zinatangazwa uptia diplomasia ya uchuni, Ubalozi wa Tanzania nchini Nigeria, umeendesha jukwaa la kuvutia uwezaji nchini Nigeria.

Majukwaa hayo ambayo yamefanyika juzi na jana katika majimbo ya Enugu na Lagos kwa lengo la kjua mkakati wa uwekezaji nchini Tanzania ambapo ilizishirikisha makampuni yenye uwezo wa kuwekeza nje ya Nigeria.

Aidha, Ubalozi ulishirikiana na Kituo cha Uwekeaji Tanzania (TIC), na kuwakilishwa na  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Dkt. Binilith Mahenge na Afisa Uwekezaji Mwanadamizi wa TIC, Gaudence Mmassy.

Kutokana na umuhimu wa utekelezaji wa diplomasia ya uchumi ubalozi uliratibu jukwaa hilo hilo na kuendelea kuwahimizi wawekezaji kuwekeza Tanzania kutokana na kuwa na mazingira wezeshi ya uwekezaji, maliasili mbalimbali na sheria na sera rafiki, amani na utulivu. Kutokana na Mkutano huo, kampuni zaidi ya 30 yameonesha utayari wa kuja nchini Tanzania kufanya ziara ya kibiashara na kupata taarifa zaidi kwa ajili ya kufanya maamuzi ya uwekezaji.

Makampuni hayo yapo katika sekta ya afya, utalii, ujenzi wa nyumba, viwanda, madini, mafuta, gesi asilia na Kilimo.

Ikumbukwe kwamba Nigeria ni nchi ya Pili kwa utajiri Barani Afrika na ina matajiri wengi wenye ukwasi na utayari wa kuwekeza nje ya mipaka ya Nigeria.

The post Ubalozi wa Tanzania Nigeria waendesha jukwaa kuvutia uwekezaji nchini first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/1TEYbwM
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Ubalozi wa Tanzania Nigeria waendesha jukwaa kuvutia uwekezaji nchini
Ubalozi wa Tanzania Nigeria waendesha jukwaa kuvutia uwekezaji nchini
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/06/556a7f89-745d-4dc7-8656-21d25b02c61a-950x633.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/06/ubalozi-wa-tanzania-nigeria-waendesha.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/06/ubalozi-wa-tanzania-nigeria-waendesha.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy