Waziri Mkuu Majaliwa Aitaka Ticts Kuimarisha Utendaji Kazi
HomeHabari

Waziri Mkuu Majaliwa Aitaka Ticts Kuimarisha Utendaji Kazi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS) kuimarisha utendaji kazi wake ikiwemo k...

U.N. warns over DR Congo violence as villagers flee ax, machete attacks
4 Afghans returned home from Guantanamo
Vladimir Putin: Russia will emerge stronger from rouble crisis – video


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS) kuimarisha utendaji kazi wake ikiwemo kuacha kuchelewesha ushushaji wa mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam.

Amesema kuwa kampuni hiyo ina paswa kufanya kazi kwa weledi na kupitia mkataba wa utendaji kazi wake ili kuhakikisha inatoa huduma stahili kwa wateja wanaohudumiwa na bandari hiyo na kuwa kimbilio.

Ametoa agizo hilo jana (Ijumaa, Aprili 08, 2022) jijiji Dar es Salaam wakati alipozungumza na Viongozi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA), Shirika la Viwango Tanzania (TBS) na Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS) na kukagua utendaji kazi wa Bandari ya Dar es Salaam kufuatia maagizo ya Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan..

“Tunataka mrejesho mzuri kutoka kwa wateja wetu, bandari hii ndio injini ya uchumi wetu, hatutasita kufanya mapitio ya mkataba wa TICTS, wapo wawekezaji wengi ambao wana nia ya kuwekeza kwenye eneo hilo, hatuwezi kuvumilia kuona kuna ucheleweshwaji wa utoaji wa mizigo bandarini”

Kwa upande wake Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amesema kuwa Wizara itaendelea kuisimamia TPA ili kuhakikisha wanaendelea kupunguza zaidi na kwa wakati shehena yote inayopita kwenye bandari hiyo “Bandari ni sehemu muhimu kwenye uchumi wetu, tutahakikisha maeneo yote ambayo hayatumiki kuhifadhi mizigo yanaanza kutumika ili kuondoa msongamano”.

Naye, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Eric Hamisi amesema kuwa wameendelea kufanya maboresho katika bandari hiyo ili kuongeza ufanisi ikiwemo kununua vifaa vipya kama vile Reach Stracker Saba (7) na FolkLift mbili (2) za tani 16 kila moja.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Waziri Mkuu Majaliwa Aitaka Ticts Kuimarisha Utendaji Kazi
Waziri Mkuu Majaliwa Aitaka Ticts Kuimarisha Utendaji Kazi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhqFSP8DFtq8Eb8t0EroG0n9IEA6qHSX8vDMb0Z5wWacp62xot3Afr1krMPhW7O2q1lZ_6HAdElk11ljMkUH7Sw5UVf6WrTcYc1ZP5wWrnIEFHKqJqmPKJpGw7XCmouGejUaEiS3PymAFA14jhEE2AoFiFrlUtEgU1qs_8cm1jTQMzwPk3JRbrkWyRo_g/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhqFSP8DFtq8Eb8t0EroG0n9IEA6qHSX8vDMb0Z5wWacp62xot3Afr1krMPhW7O2q1lZ_6HAdElk11ljMkUH7Sw5UVf6WrTcYc1ZP5wWrnIEFHKqJqmPKJpGw7XCmouGejUaEiS3PymAFA14jhEE2AoFiFrlUtEgU1qs_8cm1jTQMzwPk3JRbrkWyRo_g/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/waziri-mkuu-majaliwa-aitaka-ticts.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/waziri-mkuu-majaliwa-aitaka-ticts.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy