ADUI NAMBA MOJA WA NYAVU AWAITA MASHABIKI KWA MKAPA
HomeMichezo

ADUI NAMBA MOJA WA NYAVU AWAITA MASHABIKI KWA MKAPA

  ADUI namba moja wa nyavu kwa mujibu wa mtangazaji Hasheem Ibwe wa Azam TV , Meddie Kagere amewaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi Uwan...

MWAMBUSI: HAIKUWA MPANGO WETU KUPATA SARE
VIDEO: KMC: YANGA WALISHINDWA KUTUMIA NAFASI, NASI PIA
NAMUNGO FC: TUPO TAYARI KWA MCHEZO WA KIMATAIFA

 


ADUI namba moja wa nyavu kwa mujibu wa mtangazaji Hasheem Ibwe wa Azam TV , Meddie Kagere amewaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi Uwanja wa Mkapa.


Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes, kesho ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Namungo FC.


Katika mchezo huo Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara imepanga kuwakabidhi taji la ligi ambalo wameshinda kwa msimu wa 2020/21.


Kagere akiwa ametupia mabao 12 ni namba tatu ndani ya Simba ambapo kinara ni nahodha John Bocco mwenye mabao 15.


Nyota huyo amesema:"Mashabiki naomba muje kwa wingi Uwanja wa Mkapa kushuhudia namna ambavyo tutapewa kombe.


"Kwa kuweza kutwaa taji la ligi kwetu ni furaha na tunashukuru kwa sapoti ambayo mmekuwa mkitupa," .


Msimu uliopita wa 2019/20 Kagere alikuwa namba moja kwa utupiaji ambapo alitupia jumla ya mabao 22.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ADUI NAMBA MOJA WA NYAVU AWAITA MASHABIKI KWA MKAPA
ADUI NAMBA MOJA WA NYAVU AWAITA MASHABIKI KWA MKAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjA0a5B3x4kcX9Gb3f_pJg1ugUKu30nkfUnGs7yc-PesT5eAQvsGVrgDgmEWRSUuXQWRI7IivOII3Lz8w2s6-D10HrRovi0__z2hqp4NwDCzTdbKARMO4FQolFZkDzEc_awn3MOYmRonPMO/w640-h360/Screenshot_20210717-055510_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjA0a5B3x4kcX9Gb3f_pJg1ugUKu30nkfUnGs7yc-PesT5eAQvsGVrgDgmEWRSUuXQWRI7IivOII3Lz8w2s6-D10HrRovi0__z2hqp4NwDCzTdbKARMO4FQolFZkDzEc_awn3MOYmRonPMO/s72-w640-c-h360/Screenshot_20210717-055510_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/adui-namba-moja-wa-nyavu-awaita.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/adui-namba-moja-wa-nyavu-awaita.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy