MAJINA YA WALIOPITISHWA KUGOMBEA TFF HADHARANI LEO
HomeMichezo

MAJINA YA WALIOPITISHWA KUGOMBEA TFF HADHARANI LEO

 MCHAKATO wa uchaguzi kwa sasa bado unaendelea ambapo leo majina ya waliopenya hatua ya kugombea nafasi ndani ya Shirikisho la Mpira wa Mi...

MANULA AINGIA ANGA ZA MAMELODI SUNDOWNS
KIPA NAMBA MOJA WA AZAM FC KUIBUKIA JKT TANZANIA
MKATA UMEME WA SIMBA LWANGA APEWA KAZI MAALUMU

 MCHAKATO wa uchaguzi kwa sasa bado unaendelea ambapo leo majina ya waliopenya hatua ya kugombea nafasi ndani ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, (TFF) inatarajiwa kuwa hadharani.


Kwa mujibu wa kalenda ya matukio ya uchaguzi wa TFF Juni 25-27 ni siku za kufanya usaili wa wagombea ambao walipita kwenye mchujo wa awali na zoezi hilo lilifanywa na Kamati ya Uchaguzi na wagombea wenyewe.


Jana Juni 27 ilikuwa siku ya mwisho kukamilisha mchakato huo na leo Juni 28 itakuwa ni siku ya kutangaza na kubandika kwenye mbao za matangazo matokeo ya awali ya usaili na itafanywa na Kamati ya Uchaguzi TFF.


Uchaguzi unatarajiwa kufanyika Agosti 8 ikiwa chini ya Kimoni Kibamba ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi.


Kwa upande wa nafasi ya Urais ni wagombea watatu walipitishwa kwenye mchujo wa awali ambao ni Evans G Mgeusa, Hawa Mniga na Wallace Karia ambaye anatetea kiti chake. Huku kwa upande wa wajumbe wakiwa ni 17 katika kanda 6.


Makamu Mwenyekiti wa Uchaguzi wa TFF, Benjamin Kalume alisema kuwa watasimamia haki katika uchaguzi huo kwa mujibu wa kanuni.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MAJINA YA WALIOPITISHWA KUGOMBEA TFF HADHARANI LEO
MAJINA YA WALIOPITISHWA KUGOMBEA TFF HADHARANI LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEggms0ZU4tIW_bIs4y20J_ayalHyB6hZ-fSlA46sztsUdyg5200gzxkdRM3n1oxKav06GaMy88A4AO7iWn9e4HiWLYdrliUYAc0BiCX0nH5EkoM9PYvYx-AJeUw6WQ67A4JMuD4tWYMvDli/w576-h640/Hawa.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEggms0ZU4tIW_bIs4y20J_ayalHyB6hZ-fSlA46sztsUdyg5200gzxkdRM3n1oxKav06GaMy88A4AO7iWn9e4HiWLYdrliUYAc0BiCX0nH5EkoM9PYvYx-AJeUw6WQ67A4JMuD4tWYMvDli/s72-w576-c-h640/Hawa.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/majina-ya-waliopitishwa-kugombea-tff.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/majina-ya-waliopitishwa-kugombea-tff.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy