MWAMBUSI: HAIKUWA MPANGO WETU KUPATA SARE
HomeMichezo

MWAMBUSI: HAIKUWA MPANGO WETU KUPATA SARE

  JUMA Mwambusi, Kaimu Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga amesema kuwa sare waliyopata jana haikuwa kwenye mpango wao ila kwa kuwa wamepata po...

 



JUMA Mwambusi, Kaimu Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga amesema kuwa sare waliyopata jana haikuwa kwenye mpango wao ila kwa kuwa wamepata pointi moja basi ni jambo la kushukuru.

Ikiwa Uwanja wa Mkapa, jana Aprili 10 ilikwenda mapumziko huku ubao ukisoma Yanga 0-1 KMC na mtupiaji wa KMC alikuwa ni David Bryson dakika ya 28. 

Kipindi cha pili Yanga walianza kwa kasi na kutupia bao la kuweka usawa dakika ya 46 kupitia kwa Yacouba Songne. 

Sare hiyo inaifanya Yanga kufikisha jumla ya pointi 51 ikiwa nafasi ya kwanza huku KMC ikifikisha pointi 36 na ipo nafasi ya sita.

Mwambusi amesema kuwa hawakupanga kupata pointi moja kutokana na maandalizi ambayo walikuwa wameyafanya.

"Hatukupanga kupata pointi moja ila kwa kuwa siku zote nimekuwa nikisema tangu awali kuwa KMC huwa inakuwa bora ikikutana na Yanga na hata ukitazama nafasi yake bado inaonyesha ni timu yenye ushindani.

"Makosa ambayo yamejitokeza tunayafanyia kazi kwa ajili ya mechi zetu zijazo. Ninawapongeza wachezaji wangu kwa kuwa walipambana na bado hatujakata tamaa," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MWAMBUSI: HAIKUWA MPANGO WETU KUPATA SARE
MWAMBUSI: HAIKUWA MPANGO WETU KUPATA SARE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjG5DFuS7dQP83fy9c9hJC5ZMhq1pzSLOtZm8MzUr9R6_7HixL7hdiuvNjcedKRkfy0i5pHAXpAs_zqju58CdUnN2xVqYzRu-RrXktXHNufXLEAzwSy85UjVyljxSxv87S40wBfEMadRFas/w640-h640/IMG_20210411_133533_300.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjG5DFuS7dQP83fy9c9hJC5ZMhq1pzSLOtZm8MzUr9R6_7HixL7hdiuvNjcedKRkfy0i5pHAXpAs_zqju58CdUnN2xVqYzRu-RrXktXHNufXLEAzwSy85UjVyljxSxv87S40wBfEMadRFas/s72-w640-c-h640/IMG_20210411_133533_300.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mwambusi-haikuwa-mpango-wetu-kupata-sare.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mwambusi-haikuwa-mpango-wetu-kupata-sare.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy