YANGA WAMEAMUA, WATUA CONGO KUBEBA BEKI NA KIUNGO
HomeMichezo

YANGA WAMEAMUA, WATUA CONGO KUBEBA BEKI NA KIUNGO

I MEELEZWA kuwa nyota wawili wa Yanga ambao wanatoka  DR Congo, Tuisila Kisinda  na Mukoko Tonombe  wamefanikisha usajili wa beki  wa AS ...

SIMBA:KILA KITU KINAKWENDA SAWA KUHUSU SIMBA DAY
KUMBE! WACHEZAJI SPURS WALITOROKA KAMBI ENGLAND
SAUTI: YANGA WAPATA SIRI ZA WANAIGERIA WATAKAOMENYANA NAO KWA MKAPA


IMEELEZWA kuwa nyota wawili wa Yanga ambao wanatoka DR Congo, Tuisila Kisinda na Mukoko Tonombe wamefanikisha usajili wa beki wa AS Vita, Shaaban Djuma pamoja na kiungo ambaye anawindwa na Yanga.


Habari zinaeleza kuwa bosi wa Yanga, Injinia Hersi Said kutoka wadhamini wa Yanga, GSM akiwa ni Mkurugenzi wa Uwekezaji, ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Usajili ndani ya kikosi cha Yanga kwa sasa yupo zake Congo kwa ajili ya kukamilisha madili ya nyota wawili watakaoibuka ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi.


Miongoni mwa nyota ambao wanahitajika ni pamoja na Djuma ambaye ni beki huku jina la kiungo mmoja likiwekwa kapuni ila naye ni kutoka Congo.


 

Kuhusu Djuma habari zinaeleza kwamba mkataba wake utakapomalizika ndani ya AS Vita atajiunga na Yanga hivyo Injinia amekwenda kumaliza mchezo mazima.

 

Taarifa zimeeleza kuwa ambao wamerahisisha kazi na kufanya jambo hilo kufanikiwa ni nyota Tonombe na Kisinda ambao ndio walitumia nguvu nyingi kuwashawishi nyota hao kuibukia Yanga.


 

Nyota hao wawili wanatarajiwa kujiunga na Yanga, Julai kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa 2021/22.

 

"Kwa sasa maandalizi ya msimu ujao yameanza na ikumbukwe kwamba Djuma awali Simba walikuwa wanamhitaji hivyo wasahau kwa sasa na kuna kiungo mwingine huyu jina lake ni siri maana wakijua basi itakuwa vurugu," ilieleza taarifa hiyo.

 

Mshauri wa Yanga, raia wa Afrika Kusini, Senzo Mazingisa, hivi karibuni alisema: “Tayari tumekamilisha usajili wa baadhi ya wachezaji na katika hili la usajili, tumekuwa tukifanya kwa usiri mkubwa.


“Kikubwa hatutaki kuingiliana katika usajili na timu pinzani kwa kuhakikisha tunawasajili wachezaji wote walio kwenye mipango yetu," .




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA WAMEAMUA, WATUA CONGO KUBEBA BEKI NA KIUNGO
YANGA WAMEAMUA, WATUA CONGO KUBEBA BEKI NA KIUNGO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjZ9buKKEHjrQI7LPLU4e0TCMS_QtZNd-cNK_HnYpbyg5NC6GuV1og1H9GOGLbTAgx7oGOoj-MK5fUtw9zQyDDqMGvv80IoYeI2P-FElCouZ2pT9zKweG0WEyxdvg-u0KM1OVIw9cixUgsJ/w640-h640/djumashabani_officiel-151992787_514879002826199_7911898324589699277_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjZ9buKKEHjrQI7LPLU4e0TCMS_QtZNd-cNK_HnYpbyg5NC6GuV1og1H9GOGLbTAgx7oGOoj-MK5fUtw9zQyDDqMGvv80IoYeI2P-FElCouZ2pT9zKweG0WEyxdvg-u0KM1OVIw9cixUgsJ/s72-w640-c-h640/djumashabani_officiel-151992787_514879002826199_7911898324589699277_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/yanga-wameamua-watua-congo-kubeba-beki.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/yanga-wameamua-watua-congo-kubeba-beki.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy