CAF Yavutiwa Na Mazingira Mazuri Ya Uwekezaji Katika Michezo Nchini.
HomeHabari

CAF Yavutiwa Na Mazingira Mazuri Ya Uwekezaji Katika Michezo Nchini.

Na Richard Mwamakafu – WHUSM, Dodoma Shirikisho la Mpira wa Miguu wa Barani Afrika (CAF) chini ya Rais wake Paracti Motsepe imevutiwa na...

Chongolo Azipa Rungu kamati za siasa za wilaya na mikoa Fedha Za IMF
Rais Samia Amuagiza Waziri Ummy Kutoa Bil. 1/= Ujenzi Hospitali Arusha
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Octobet 18


Na Richard Mwamakafu – WHUSM, Dodoma
Shirikisho la Mpira wa Miguu wa Barani Afrika (CAF) chini ya Rais wake Paracti Motsepe imevutiwa na jitihada zinazochukuliwa na Serikali ya Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kuendeleza michezo nchini hususan Soka.

Miongoni mwa jitihada zilizovutia Shirikisho hilo zinachukuliwa na Serikali katika kuendeleza michezo nchini ni pamoja na kuondolewa VAT kwenye nyasi bandia ili kuboresha miundombinu ya michezo nchini.

Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa mara baada mkutano wa Waziri Mkuu Mhe.  Kassim Majaliwa  Majaliwa alipotembelewa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) Paracti Motsepe na kufanya naye mazungumzo jana Agosti 13, 2021 Jijini Dodoma.

Jitihada nyingine zinazochukuliwa na Serikali katika kuboresha michezo nchini ni kutunisha Mfuko wa Maendeleo ya Michezo unaosimamiwa na Baraza la Michezo nchini (BMT), mkakati wa kurudisha uhai wa michezo katika shule za msingi (UMITASHUMTA) pamoja na shule za Sekondari (UMISETA)     ambayo Rais huyo amefuatilia kwa karibu mashindano ya mwaka huu yaliyofanyika kitaifa mkoani Mtwara.

Katika majadiliano yao na Waziri Mkuu Majaliwa, wamekubaliana kuhakikisha vipaji vinavyopatikana katika shule hizo vinaendelezwa pamoja na kuboresha miundombinu ya michezo nchini.

Adha, Waziri Bashungwa amesisitiza kuwa Serikali inaendelea kuimarisha na kuendeleza sekta ya Michezo na Utalii nchini ambapo Mkutano Mkuu wa CAF unatarajiwa kufanyika nchini unaoshirikisha Marais 54 wa Mpira katika nchi mbalimbali Barani Afrika pamoja na ujumbe wao wanatarajiwa kushiriki na baada ya mkutano wao watapata fursa ya kutembelea Hifadhi za Taifa na maeneo mengine ya yenye vivutio vya utalii. Hiyo ni fursa adhimu kwa taifa katika kuendeleza utalii wa michezo ambayo inatatoa mchango mkuwa katika uchumi wa mtu mmoja mmoja na kuongeza pato la taifa kwa ujumla.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: CAF Yavutiwa Na Mazingira Mazuri Ya Uwekezaji Katika Michezo Nchini.
CAF Yavutiwa Na Mazingira Mazuri Ya Uwekezaji Katika Michezo Nchini.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhU2eHVU238EPnPxbM_Rxt-PgLpJsAjDOs_jfJhLW7gR0N7lmyOEUntrTtSQO2d8xpZu8-H0211cIYpeE9G3DDx0VR5ymfifzWH27rvFTuN442rbyTnIvajZbRouyTHbG437jII-UQeFjnL/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhU2eHVU238EPnPxbM_Rxt-PgLpJsAjDOs_jfJhLW7gR0N7lmyOEUntrTtSQO2d8xpZu8-H0211cIYpeE9G3DDx0VR5ymfifzWH27rvFTuN442rbyTnIvajZbRouyTHbG437jII-UQeFjnL/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/caf-yavutiwa-na-mazingira-mazuri-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/caf-yavutiwa-na-mazingira-mazuri-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy