YANGA KUWAVUTA NYOTA WAWILI KUTOKA TUNISIA
HomeMichezo

YANGA KUWAVUTA NYOTA WAWILI KUTOKA TUNISIA

  KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi imeelezwa kuwa anahitaji kumleta mchezaji ndani ya Yanga ambaye atatoka nchini Tunisia.   Hiyo yo...

SIMBA YAWEKEWA MKWANJA MREFU KUIMALIZA AL MERRIKH, MILIONI 200 MEZANI
SHABIKI WA SIMBA APEWA MKWANJA MREFU NA M-Bet
MANCHESTER DERBY KITAWAKA ETIHAD KESHO JUMAPILI

 KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi imeelezwa kuwa anahitaji kumleta mchezaji ndani ya Yanga ambaye atatoka nchini Tunisia.

 

Hiyo yote katika kuhakikisha kikosi chao kinaimarika katika kujiandaa na michuano ya kimataifa msimu ujao ambayo Yanga huenda ikashiriki.


Yanga tayari imefanikisha usajili wa mabeki Shaban Djuma aliyemaliza mkataba AS Vita ya DR Congo na David Bryson wa KMC.

 

Kwa mujibu wa taarifa ambazo tumezipata kutoka ndani ya benchi la ufundi la timu hiyo, Kocha Nabi ndiye aliyependekeza usajili wa wachezaji wawili katika kukiimarisha kikosi hicho.


Mtoa taarifa huyo alisema kuwa, wachezaji hao ni chaguo lake kocha ambaye anaamini kama wakitua, basi wataisadia timu hiyo kutokana na uwezo na uzoefu wa kucheza michuano ya kimataifa.

 

Aliongeza kuwa, wachezaji hao aliowapendekeza ni kiungo mchezeshaji na mshambuliaji mmoja mwenye uwezo mkubwa wa kupachika mabao.


Kocha Nabi amepewa majukumu yote ya kusimamia usajili kwa ajili ya msimu ujao, tayari amependekeza usajili wa wachezaji anaowahitaji.

 

“Nabi tayari ametoa mapendekezo ya usajili ukiwemo wa Bryson na Djuma baada ya kuridhishwa na uwezo wao.


Pia kocha ametoa mapendekezo ya kusajili wachezaji wawili kutoka Tunisia, kati ya hao ni kiungo mchezeshaji na mshambuliaji mmoja,” alisema mtoa taarifa huyo.


 

Akizungumzia usajili wa Yanga, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa timu hiyo, Hassan Bumbuli, alisema mipango yote ya usajili ipo kwa kocha ambaye yeye ndiye anahusika na kila kitu.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA KUWAVUTA NYOTA WAWILI KUTOKA TUNISIA
YANGA KUWAVUTA NYOTA WAWILI KUTOKA TUNISIA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi6Txg2kMuaJDb-YVI-UtmqkuT5-5owdwynhnecFl19LA1_eqJg7KRac8FnXEZLHnbwadxIwYjHpaln2ixI1uwCclI-1V1KyCRkT1Gs-EV9bjS2fQL7_-IXDdA23Bjrcev3eHWmC42xCG4L/w640-h426/Nabi+Yanga.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi6Txg2kMuaJDb-YVI-UtmqkuT5-5owdwynhnecFl19LA1_eqJg7KRac8FnXEZLHnbwadxIwYjHpaln2ixI1uwCclI-1V1KyCRkT1Gs-EV9bjS2fQL7_-IXDdA23Bjrcev3eHWmC42xCG4L/s72-w640-c-h426/Nabi+Yanga.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/yanga-kuwavuta-nyota-wawili-kutoka.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/yanga-kuwavuta-nyota-wawili-kutoka.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy