SABABU YA CONTE KUPIGWA CHINI INTER MILAN YATAJWA
HomeMichezo

SABABU YA CONTE KUPIGWA CHINI INTER MILAN YATAJWA

  MABINGWA wa Italia, Klabu ya Inter Milan italazimika kumlipa Antonio Conte kiasi cha Shilingi za Kitanzania Bilioni 19.8 kama fidia baa...

VIDEO: WANDISHI WA HABARI ASIMULIA NAMNA ALIVYOTISHIWA KUUWAWA NA KOMANDO
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MAJINA YA WALIOPITISHWA KUGOMBEA TFF HADHARANI LEO


 MABINGWA wa Italia, Klabu ya Inter Milan italazimika kumlipa Antonio Conte kiasi cha Shilingi za Kitanzania Bilioni 19.8 kama fidia baada ya kusitisha mkataba.

 

Conte na Inter wamefikia makubaliano ya kusitisha mkataba baada ya kutofautiana kwenye usajili kwenye timu hiyo, anaondoka kwenye Klabu hiyo akiwa amewapa ubingwa wa kwanza wa Ligi Kuu ya Italia (Escudetto) baada ya miaka 11.


Inter Milan walitaka kuuza wachezaji kutokana na changamoto za kiuchumi huku Conte akitaka aongezewe wachezaji ili awanie ubingwa tena wa ligi na Ligi ya Mabingwa (Uefa).


Inter Milan wamethibitisha kuachana na Conte kwa kusema:"Inter inatangaza kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kocha Antonio Conte, Klabu yote ingependa kumpongeza kwa kazi ya ajabu aliyoifanya, iliyohitimishwa na kubeba Scudetto, (ubingwa wa Serie A),".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SABABU YA CONTE KUPIGWA CHINI INTER MILAN YATAJWA
SABABU YA CONTE KUPIGWA CHINI INTER MILAN YATAJWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEit90AieGw6dk6TdMMu5l73yKJd4Sgo440zHyy49l8vSJWuaPM1bIDLI8Jkvzo9BqbCob-z-DC9S-UrHtWPVWxGnTKxEX8gHSPIsF3eHcI5qVGg4ul4OFiETMgRI0Od_xTXJ0GrSqCdGjVT/w640-h428/conte+v+lukaku.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEit90AieGw6dk6TdMMu5l73yKJd4Sgo440zHyy49l8vSJWuaPM1bIDLI8Jkvzo9BqbCob-z-DC9S-UrHtWPVWxGnTKxEX8gHSPIsF3eHcI5qVGg4ul4OFiETMgRI0Od_xTXJ0GrSqCdGjVT/s72-w640-c-h428/conte+v+lukaku.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/sababu-ya-conte-kupigwa-chini-inter.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/sababu-ya-conte-kupigwa-chini-inter.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy