UKRAINE WAPEWA ONYO ISHU YA ULINZI BAADA YA KUPOTEZA KATIKA EURO 2020
HomeMichezo

UKRAINE WAPEWA ONYO ISHU YA ULINZI BAADA YA KUPOTEZA KATIKA EURO 2020

  BAADA ya timu ya Taifa ya Netherlands kuichapa mabao 3-2 Ukraine katika michuano ya Euro 2020, mchambuzi wa masuala ya michezo, Roy Kea...

ORODHA YA MATOKEO YA KURA ZA WAJUMBE WA KANDA,TFF, TANGA
SIMULIZI YA MTOTO ALIYEFUKUZWA KAZI KISA ULEVI NA MADAWA YA KULEVYA
KUMBE! SIMBA WALIMDAKA JUU MHILU NA KUMSAINISHA AKIWA NA MKATABA NA KAGERA SUGAR

 


BAADA ya timu ya Taifa ya Netherlands kuichapa mabao 3-2 Ukraine katika michuano ya Euro 2020, mchambuzi wa masuala ya michezo, Roy Keane amesema kuwa tatizo la ulinzi litaimaliza mapema timu hiyo.


Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Amsterdam Arena timu zote zilikuwa zikionyesha ufundi katika kucheza mpira pamoja na mbinu kali usiku wa kuamkia leo.

Ni Georginio Wijnaldum alianza kupachika bao la kuongoza dakika ya 52 kisha Wout Weghorst alipachika la pili dakika ya 58 na mabao hayo yaliwekwa usawa na Andriy Yarmolenko dk 75 na Roman Yaremchuk dk 79 kwa Ukraine.

Bao la ushindi lilipachikwa na Denzel Dumfries dakika ya 85 na kuwafanya Ukraine kupoteza pointi tatu mazima ndani ya kundi C katika mchezo wao wa kwanza.

Keane amesema:"Pongezi nyingi kwa Netherlands namna walivyoweza kuwa imara ila kwa mwendo ambao wameanza nao Ukraine wana kazi ya kufanya katika ulinzi," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: UKRAINE WAPEWA ONYO ISHU YA ULINZI BAADA YA KUPOTEZA KATIKA EURO 2020
UKRAINE WAPEWA ONYO ISHU YA ULINZI BAADA YA KUPOTEZA KATIKA EURO 2020
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj1NAYCXaXpZFg5TFYLKlu3VLSMJfrktZck4Kw2N3ba9tLUQVW1nZzJbyOXWvVVckSxqxm0unL3nIUYEnOqUx_SlP_yArb4c0rVj_tGb5WGIbqG-0aDZsLXXN25okCADV3SzGikw5JDnWXc/w640-h412/Nethaland.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj1NAYCXaXpZFg5TFYLKlu3VLSMJfrktZck4Kw2N3ba9tLUQVW1nZzJbyOXWvVVckSxqxm0unL3nIUYEnOqUx_SlP_yArb4c0rVj_tGb5WGIbqG-0aDZsLXXN25okCADV3SzGikw5JDnWXc/s72-w640-c-h412/Nethaland.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/ukraine-wapewa-onyo-ishu-ya-ulinzi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/ukraine-wapewa-onyo-ishu-ya-ulinzi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy