SELEMAN MATOLA: KAZI BADO INAENDELEA
HomeMichezo

SELEMAN MATOLA: KAZI BADO INAENDELEA

  K OCHA  Msaidizi  wa Simba, Seleman  Matola amesema kuwa wana kazi kubwa ya kufanya ili kuweza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa kuwa ...


 KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema kuwa wana kazi kubwa ya kufanya ili kuweza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa kuwa kazi bado inaendelea.

 

 

Mchezo wao wa mwisho kabla ya ligi kusimama kwa ajili ya kambi ya timu ya taifa ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ulisoma Ruvu Shooting 0-3 Simba.

 

Matola amesema kuwa bado wana kazi kubwa ya kufanya kufikia malengo ambayo wamejiwekea kwa kuwa ushindani ni mkubwa.


"Kazi bado inaendelea kwani ligi haijaisha na tuna mechi mkononi ambazo tunapaswa kucheza jambo la msingi ni kuona kwamba mechi zetu ambazo zimebaki tunapata matokeo chanya ili tuweze kufikia malengo yetu.


"Wachezaji wanajuhudi na wanapaswa pongezi kwa kuwa wanatimiza majukumu yao hivyo kazi bado inaendelea kwa mechi zetu zijazo imani ni kwamba tutafanya vizuri," amesema.

 

Kwenye msimamo Simba ipo nafasi ya kwanza ina pointi 67 baada ya kucheza mechi 27.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SELEMAN MATOLA: KAZI BADO INAENDELEA
SELEMAN MATOLA: KAZI BADO INAENDELEA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhLqJPv62JbFdSccVtlyrjBZVkcUhpQmb4imo6Q2cbTPIowZX2Taoh3TdUV_fF22BQ2Dl6NOk6PqbfX0MM4IyhSQAR9G8o7RUCslQyhp-2HERr1dlAdA_RpAGlYLTOhSfGEkGOFtyFy870r/w640-h426/Simba+mazoezi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhLqJPv62JbFdSccVtlyrjBZVkcUhpQmb4imo6Q2cbTPIowZX2Taoh3TdUV_fF22BQ2Dl6NOk6PqbfX0MM4IyhSQAR9G8o7RUCslQyhp-2HERr1dlAdA_RpAGlYLTOhSfGEkGOFtyFy870r/s72-w640-c-h426/Simba+mazoezi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/seleman-matola-kazi-bado-inaendelea.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/seleman-matola-kazi-bado-inaendelea.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy