MANCHESTER UNITED WALIKUWA WANAHITAJI SAINI YA KIUNGO WA WATFORD
HomeMichezo

MANCHESTER UNITED WALIKUWA WANAHITAJI SAINI YA KIUNGO WA WATFORD

KIONGOZI wa zamani wa benchi la ufundi la Klabu ya Watford, Filippo Giraldi ameweka wazi kwamba mabosi wa Manchester United walikuwa wanah...

CHELSEA WAANZA MAZUNGUMZO NA HAALAND
VIDEO: MUONEKANO WA UWANJA WA KAUNDA MALI YA YANGA
DIAS NA MANCHESTER CITY WAWEKA REKODI NDANI YA PREMIER LEAGUE

KIONGOZI wa zamani wa benchi la ufundi la Klabu ya Watford, Filippo Giraldi ameweka wazi kwamba mabosi wa Manchester United walikuwa wanahitaji saini ya kiungo wao Ismaila Sarr, msimu uliopita.

United ilikuwa imeweka nguvu kubwa kwenye kusaka saini ya kiungo wa Borussia Dortmund, Jadon Sancho ila dau lake la pauni milioni 100 liliwafanya mabosi wa timu hiyo wasitishe suala la kukamilisha dili hilo.

Baada ya kuona kwamba wamekwama kumpata Sancho waliongeza nguvu kwa Sarr wa Watford ili wapate saini ya winga huyo ambapo dau lake lilitajwa kuwa pauni milioni 40.

Giraldi amesema kuwa alikuwa miongoni mwa viongozi ambao walizungumza na United kuhusu dili hilo la nyota huyo kutua ndani ya kikosi cha United kinachonolewa na Kocha Mkuu, Ole Gunnar Solskjaer.

"Tulikuwe kwenye mazungumzo ya karibu na United kuhusu Sarr nami nilikuwa kwenye mazungumzo hayo ila tulishindwa kufikia makubaliano, nadhani labda inatokana na Sarr kuwa mdogo.

"Nadhani alikosa fursa hiyo ya kujiunga na United ila aliweza kufanya vizuri alivyobaki ndani ya Watford na ana uwezo mzuri ambao unazidi kukua kila iitwapo leo," .





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MANCHESTER UNITED WALIKUWA WANAHITAJI SAINI YA KIUNGO WA WATFORD
MANCHESTER UNITED WALIKUWA WANAHITAJI SAINI YA KIUNGO WA WATFORD
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiXXM3uReQrg6XTooGWEDbytoGNFIS8Fg7pU_IYmczLRLty0NWbV7g28HZNavkdO0VtZWmsVHYBWUOLu4AToxA9eIPgNuCXVojLXaUbBzX7DVrPHVxb6tXOsv8sZ9VItyW7Sv7JeLIzuY_l/w640-h428/Ismaila.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiXXM3uReQrg6XTooGWEDbytoGNFIS8Fg7pU_IYmczLRLty0NWbV7g28HZNavkdO0VtZWmsVHYBWUOLu4AToxA9eIPgNuCXVojLXaUbBzX7DVrPHVxb6tXOsv8sZ9VItyW7Sv7JeLIzuY_l/s72-w640-c-h428/Ismaila.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/manchester-united-walikuwa-wanahitaji.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/manchester-united-walikuwa-wanahitaji.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy