GADIEL MICHAEL WA SIMBA ATAJWA AZAM FC
HomeMichezo

GADIEL MICHAEL WA SIMBA ATAJWA AZAM FC

  U ONGOZI  wa Azam FC  umefunguka kuwa hauna  mpango wa kumsajili beki wa  Klabu ya Simba, Gadiel Michael  kwa kuwa hakuna mapendekezo  ...

SIMBA WATAMBA KUPATA USHINDI MBELE YA KAIZER CHIEFS LEO, WACHEZAJI KUSEPA NA BONASI
KOCHA YANGA AGOMEA SARE, ATAKA USHINDI MBELE YA NAMUNGO
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

 


UONGOZI wa Azam FC umefunguka kuwa hauna mpango wa kumsajili beki wa Klabu ya Simba, Gadiel Michael kwa kuwa hakuna mapendekezo yoyote kutoka kwa kocha, George Lwandamina ya maboresho katika nafasi hiyo.

 

Gadiel aliyejiunga na Simba msimu uliopita wa 2019/20 akitokea Yanga amekuwa na wakati mgumu kupata nafasi ndani ya kikosi cha Simba.

 

Hii ni kutokana na ushindani mkubwa wa namba kutoka kwa nahodha msaidizi wa kikosi cha timu hiyo, Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’ kiasi cha hivi karibuni kuhusishwa kuwa na mpango wa kurejea Azam.


Gadiel alikulia ndani ya kikosi cha vijana cha Azam tangu mwaka 2014 kabla ya kuondoka mwaka 2017, ambapo alijiunga na Klabu ya Yanga aliyoichezea mpaka mwaka 2019.

 

Akizungumza na Championi Jumamosi, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Azam, Zakaria Thabith ‘Zaka Zakazi’ alisema: “Ndani ya kikosi chetu kocha mkuu pekee ndiye anayehusika na masuala yote ya usajili na mpaka sasa hajapendekeza usajili wa beki wa kushoto.

 

“Lakini pia sera yetu ya usajili inatutaka kusajili mchezaji anayecheza kwenye kikosi cha timu aliyotoka na siyo ambaye hapati nafasi.


 “Mpaka sasa hatujapokea maombi yoyote rasmi kutoka kwa Gadiel, na kama amefanya hivyo basi itakuwa alimuomba kiongozi binafsi ambaye hajalifikisha suala hilo kwenye meza yetu.”



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GADIEL MICHAEL WA SIMBA ATAJWA AZAM FC
GADIEL MICHAEL WA SIMBA ATAJWA AZAM FC
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjarQjIREEWSQTJW2bXROD4TKb4OAuMnzsXPtT03O0Sl31uLNDfy8q3ith5_KSndcZ116KpkU_FZ7Uf23_zM8E0eviuY-cYt9RJH1DOeqm-DFI1HcD6IqJK9uW76ZKkbsmb2iZZALT3kd5o/w640-h450/Gadiel+Abuja.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjarQjIREEWSQTJW2bXROD4TKb4OAuMnzsXPtT03O0Sl31uLNDfy8q3ith5_KSndcZ116KpkU_FZ7Uf23_zM8E0eviuY-cYt9RJH1DOeqm-DFI1HcD6IqJK9uW76ZKkbsmb2iZZALT3kd5o/s72-w640-c-h450/Gadiel+Abuja.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/gadiel-michael-wa-simba-atajwa-azam-fc.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/gadiel-michael-wa-simba-atajwa-azam-fc.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy