MECHI ZA EUR0 2020 KUTIMUA VUMBI RASMI WIKIENDI HII
HomeMichezo

MECHI ZA EUR0 2020 KUTIMUA VUMBI RASMI WIKIENDI HII

  Baada ya kuahirishwa kwa mwaka mmoja kutokana na Covid-19, sasa ni rasmi michuano hiyo kuanza wikiendi hii. Nchi Zaidi ya 24 katika miji...

VIDEO: KARIA APETA TFF,YANGA WAJA NA MIKAKATI MIZITO
SIMBA NA YANGA MSIBEBE MATOKEO UWANJANI
MTAMBO WA MABAO UPO TAYARI KUTUA YANGA

 

Baada ya kuahirishwa kwa mwaka mmoja kutokana na Covid-19, sasa ni rasmi michuano hiyo kuanza wikiendi hii. Nchi Zaidi ya 24 katika miji 11 kushuhudia wachezaji mbalimbali wakubwa kwa wadogo wakipambana kuhakikisha wanabeba kombe hilo kubwa mwaka huu! Ingia Meridianbet na ubashiri sasa!

 

ijumaa hii, kutakuwa na mechi ya ufunguzi ya michuano ya EURO 2020, Timu ya Italy itawaalika Turkey pale Olympico stadium, Rome. Mara ya mwisho timu hizo kukutana kwenye Euro ilikuwa ni mwaka 2000 na Italy walishinda 2-0. Meridianbet imekuwekea Odds ya 1.63 kwa Italy. Je, nani kuibuka na ushindi katika mechi hii?

 

Siku ya Jumamosi, Timu ya Wales chini ya Gareth Bale watakuwa wenyeji wa Switzerland kule Baku Olympic Stadium. Meridianbet imekuwekea Odds ya 2.30 kwa Switzerland kwa ajili yako.

 

Siku hiyo hiyo ya Jumamosi, Belgium wakiwa wanaogozwa na Lukaku watawakaribisha Russia katika michuano hiyo ya Euro 2020. Kwa kutambua ukubwa wa Belgium, Meridianbet imekuwekea Odds ya 1.80 kwa Belgium ili kukupa ushindi wewe.

 

Jumapili nako hakupoiii, England watarusha karata yao dhidi ya mashujaa wanyonge wa Croatia kule Wembley Stadium. England imejaa mastaa wakubwa na Meridianbet imeweka Odds ya 1.80 kwao.

 

Kule katika uwanja wa Amsterdam Arena, Timu ya Netherlands watawaalika Ukraine. Meridianbet imekuwekea Odds ya 1.72 kwa Netherlands ili uwe bingwa na wewe.

 

Siku ya Jumatatu pia kuna moto, Poland watakuwa wenyeji wa Slovakia kule Krestovsky Stadium. Meridianbet imekuwekea Odds ya 1.90 kwa Poland katika mechi hiyo.

 

Ni rahisi sana kuwa bingwa wikiendi hii, cha kufanya nikuchangamkia fursa tu. Piga *149*10# kujiunga au tembelea www.meridianbet.co.tz na ujiunge na familia ya mabingwa!



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MECHI ZA EUR0 2020 KUTIMUA VUMBI RASMI WIKIENDI HII
MECHI ZA EUR0 2020 KUTIMUA VUMBI RASMI WIKIENDI HII
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgOkmCnUiHSmRfUbbaKo0VwaD5dJazUXcRvaAcJ6g3rEOujMi3WYAiqVVXhbpPmv5oPuRltXLIlz8CDUy2WXDUWr34zt4QCHlyAlDH8Z_5gK9E7-dQMj4A6xwq8erdHjw-xdogdtJqldsce/w640-h394/d1c305d6d70109f341e38974b35c8e30.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgOkmCnUiHSmRfUbbaKo0VwaD5dJazUXcRvaAcJ6g3rEOujMi3WYAiqVVXhbpPmv5oPuRltXLIlz8CDUy2WXDUWr34zt4QCHlyAlDH8Z_5gK9E7-dQMj4A6xwq8erdHjw-xdogdtJqldsce/s72-w640-c-h394/d1c305d6d70109f341e38974b35c8e30.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/mechi-za-eur0-2020-kutimua-vumbi-rasmi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/mechi-za-eur0-2020-kutimua-vumbi-rasmi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy