HII HAPA RODHA YA NYOTA WALIOMALIZANA NA YANGA MAZIMA
HomeMichezo

HII HAPA RODHA YA NYOTA WALIOMALIZANA NA YANGA MAZIMA

  INASEMEKANA Yanga imemalizana na nyota  wawili kwa siri kubwa katika kuelekea usajili wa  msimu ujao ambao wamepanga kubeba  makombe yo...

KOCHA WA YANGA KAZE AWEKA WAZI KWAMBA HANA PRESHA
ORODHA YA WACHEZAJI 25 WA SIMBA WALIOWASILI SUDAN, MANULA NDANI
COASTAL UNION: TUNAWAHESHIMU YANGA, TUPO KWENYE USHINDANI

 


INASEMEKANA Yanga imemalizana na nyota 
wawili kwa siri kubwa katika kuelekea usajili wa msimu ujao ambao wamepanga kubeba makombe yote watakayoshindania.

Wachezaji hao ni kipa wa Tanzania Prisons, Jeremia Kisubi na Dickson Ambundo anayekipiga Dodoma Jiji.


Yanga hadi hivi sasa wachezaji waliofanikiwa kuwasajili na kuwapa mikataba ya miaka miwili kwa siri ni David Bryson anayeichezea KMC FC na beki wa AS Vita, Shaaban Djuma.

Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya uongozi wa Yanga, imefikia makubaliano mazuri na Kisubi na Ambundo ambao tayari wamepewa mikataba ya awali ya kuichezea timu hiyo.

Chanzo hicho kilisema kuwa wachezaji hao wanachosubiria ni kumalizika kwa ligi mikataba yao ikiwa imemalizika tayari kwa ajili ya kujiunga na Yanga.

Kiliongeza kuwa timu hiyo inataka kumsajili Kisubi kwa ajili ya kuiimarisha safu yao ya magolikipa wao baada ya tetesi kuzagaa Yanga kuwepo katika mipango ya kuachana na Mkenya, Farouk Shikalo.


“Katika msimu huu Yanga imepanga kufanya usajili mkubwa wa wachezaji wapya baada ya kujihakikishia nafasi ya kucheza michuano ya kimataifa, mwakani.

“Hivyo katika kukiboresha kikosi hicho, viongozi tayari wameanza usajili wa siri kwa kufanikisha usajili wa baadhi ya wachezaji kwa hofu ya usajili wao kuingiliwa.

“Kwani tayari imemalizana na wachezaji wawili mabeki wa pembeni Djuma wa AS Vita na Bryson anayeichezea KMC, pia uongozi upo katika hatua za mwishoni za kumsajili Kisubi na Ambundo ambao wanasubiria ligi kumalizika,” alisema mtoa taarifa.

Akizungumzia hilo, Mkuu wa Kitengo cha Habari cha Yanga, Hassani Bumbuli, alisema: “Suala lote la usajili hivi sasa lipo kwa kocha wetu Nabi ambaye yeye ndiye atakayesimamia zoezi zima la usajili na uongozi kazi yetu ni kufanikisha usajili.”



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: HII HAPA RODHA YA NYOTA WALIOMALIZANA NA YANGA MAZIMA
HII HAPA RODHA YA NYOTA WALIOMALIZANA NA YANGA MAZIMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiw8rweTqz8fzbWel1UbqKeHYZ-KF4v1Ky0BWhzxJZQYa1kP-JOcmeyJva-_TecaTQcyp1ClgEvxjqPbfsEo_ucCfAkaHWxlLQ_kf_IxkHwxZDn_MVzmdowjzpinaaS4SUvoESqJNZ9MoYw/w640-h480/Ambundo.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiw8rweTqz8fzbWel1UbqKeHYZ-KF4v1Ky0BWhzxJZQYa1kP-JOcmeyJva-_TecaTQcyp1ClgEvxjqPbfsEo_ucCfAkaHWxlLQ_kf_IxkHwxZDn_MVzmdowjzpinaaS4SUvoESqJNZ9MoYw/s72-w640-c-h480/Ambundo.png
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/hii-hapa-rodha-ya-nyota-waliomalizana.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/hii-hapa-rodha-ya-nyota-waliomalizana.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy