Arsenal yaicharaza West Ham 3-0
HomeMichezoKimataifa

Arsenal yaicharaza West Ham 3-0

Arsenal yaifunga West ham mabao 3-0 Arsenal ilipata ushindi mzuri dhidi ya West Ham huku ikijiand...

Arsenal yaifunga West ham mabao 3-0

Arsenal ilipata ushindi mzuri dhidi ya West Ham huku ikijiandaa kwa mchuano wa kata na shoka kati yake na kilabu ya Monaco siku ya jumanne.
Kilabu hiyo ya Wenger iliishinda West Ham kwa mabao 3-0 na hivyobasi kuimarisha ndoto yake katika nafasi nne bora katika jedwali la ligi ya Uingereza.

The Gunner ilitawala mechi hiyo huku Olivier Giroud akifunga bao la kwanza kabla ya kipindi cha kwanza kukamilika.

Kevin Nolan na Matt Jarvis walikaribia kufunga kwa niaba ya wana nyundo hao lakini mabao ya dakika za mwisho ya Aaron Ramsey na Mathiew Flamini yaliiiweka Arsenal pointi nne mbele ya mabingwa wa zamani Manchester United walio katika nafasi ya nne.
Arsenal sasa inajianda kubadilisha matokeo ya 3-1 dhidi ya Monaco nchini Ufaransa siku ya jummane katika mechi ya vilabu bingwa barani Ulaya
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Arsenal yaicharaza West Ham 3-0
Arsenal yaicharaza West Ham 3-0
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/03/14/150314170844_arsenal_640x360_afp_nocredit.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/03/arsenal-yaicharaza-west-ham-3-0.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/03/arsenal-yaicharaza-west-ham-3-0.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy