YANGA: HATUNA HOFU DHIDI YA SIMBA
HomeMichezo

YANGA: HATUNA HOFU DHIDI YA SIMBA

  MABEKI wa kati wa kikosi cha Yanga wameweka wazi kwamba hawana hofu kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaotarajiwa ku...

ORODHA YA KIKOSI CHA NAMUNGO FC KITAKACHOIBUKIA ANGOLA
ISHU YA MABAO MATANO KIMATAIFA, MANULA APATA KIGUGUMIZI
TUCHEL AITAKA SAINI YA ERIKSEN WA INTER MILAN

 


MABEKI wa kati wa kikosi cha Yanga wameweka wazi kwamba hawana hofu kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Mei 8, Uwanja wa Mkapa.

Ni Abdalah Shaibu, 'Ninja' chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Nassredine Nabi na Dickson Job ambaye ni beki chipukizi ndani ya kikosi hicho kinachowania kutwaa taji la Ligi Kuu Bara.

Ninja ambaye amekuwa kwenye ubora katika mechi za hivi karibuni amesema kuwa hana hofu kuelekea katika mchezo huo na anaamini kwamba watafanya vizuri.


"Hakuna haja ya kuwa na hofu kwa sababu tunawajua vema wapinzani wetu na kikubwa ni kujiamini na kufanyia kazi yale ambayo mwalimu ametuambia.

"Tumekutana nao katika mechi zetu za hivi karibuni na tunajua kwamba nao watakuwa wanahitaji pointi tatu kama ambavyo nasi tunazihitaji, mashabiki watupe sapoti,".

Job amesema kuwa kwa mbinu ambazo wanapewa na Nabi wanaamini kwamba watafanya vizuri kwenye mchezo huo.

Kwenye msimamo Yanga imekusanya pointi 57 baada ya kucheza jumla ya mechi 27 inakutana na Simba yenye pointi 61 ikiwa nafasi ya kwanza baada ya kucheza mechi 25.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA: HATUNA HOFU DHIDI YA SIMBA
YANGA: HATUNA HOFU DHIDI YA SIMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEikeKUQK4gCZDfjIdkNUGjIXHgdhqofJdoSdXUMacI0HH58BKARjKjcr85OlmG2W5p3ySBzTnJXGOlbovdaf9zBjTWj5gycEfegp1uZFeXIH6tCBczJjL_iyhBiIUXnN5vGkujo3sTpBXtl/w540-h640/Ninja+tena.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEikeKUQK4gCZDfjIdkNUGjIXHgdhqofJdoSdXUMacI0HH58BKARjKjcr85OlmG2W5p3ySBzTnJXGOlbovdaf9zBjTWj5gycEfegp1uZFeXIH6tCBczJjL_iyhBiIUXnN5vGkujo3sTpBXtl/s72-w540-c-h640/Ninja+tena.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/yanga-hatuna-hofu-dhidi-ya-simba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/yanga-hatuna-hofu-dhidi-ya-simba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy