ISHU YA MABAO MATANO KIMATAIFA, MANULA APATA KIGUGUMIZI
HomeMichezo

ISHU YA MABAO MATANO KIMATAIFA, MANULA APATA KIGUGUMIZI

  KIPA namba moja wa Klabu ya Simba, Aishi Manula amepata kigugumizi kuzungumzia kichapo cha mabao matano yaliyopita kwenye mechi zao za k...


 KIPA namba moja wa Klabu ya Simba, Aishi Manula amepata kigugumizi kuzungumzia kichapo cha mabao matano yaliyopita kwenye mechi zao za kimataifa.

Manula alikuwa langoni kwenye mechi tatu za ugenini msimu wa 2018,  ambapo jumla alikusanya mabao 12 ilikuwa Januari 19,2019, AS Vita 5-0 Simba,Februari 2,2019 Al Ahly 5-0 Simba na Machi 9,2019, JS Saoura 2-0 Simba.

Leo Februari 12, Simba itakutana tena na wapinzani wao AS Vita ambao waliwafunga Simba mabao 5 wakiwa Congo ila walipokuja kwa Mkapa, walinyooshwa kwa kufungwa mabao 2-1.

Akizungumza na Saleh Jembe, Manula amesema kuwa mechi za nyuma tayari zimeshapita wanachofanya wao ni kutazama upya mechi zao za mbele.

“Kuhusu hilo weka pembeni kwanza kwa kuwa mechi za nyuma zimepita na sasa tunatazama mechi zetu za mbele, kikubwa ni kuona kwamba tunapata matokeo chanya, mashabiki watuombee,” amesema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ISHU YA MABAO MATANO KIMATAIFA, MANULA APATA KIGUGUMIZI
ISHU YA MABAO MATANO KIMATAIFA, MANULA APATA KIGUGUMIZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEidJGIyLJnv9qwAQHY5eM03y_qomnrXFL51Tjfi_2plq1n6kjTlsf6NP0uKOhnYgWG0QKANU-IKNmlOO-Nw1kjN8v0Dku1SKQFuHDpGt6YtbX04rxpeawphxNf2CqE7wpHkHtlJH0SVX1JI/w640-h426/manula.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEidJGIyLJnv9qwAQHY5eM03y_qomnrXFL51Tjfi_2plq1n6kjTlsf6NP0uKOhnYgWG0QKANU-IKNmlOO-Nw1kjN8v0Dku1SKQFuHDpGt6YtbX04rxpeawphxNf2CqE7wpHkHtlJH0SVX1JI/s72-w640-c-h426/manula.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/ishu-ya-mabao-matano-kimataifa-manula.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/ishu-ya-mabao-matano-kimataifa-manula.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy