Watu Watano wafariki kwenye ajali ya magari matatu Mkoani Morogoro
HomeHabari

Watu Watano wafariki kwenye ajali ya magari matatu Mkoani Morogoro

Watu watano wamefariki dunia mkoani Morogoro katika ajali ya barabarani iliyohusisha magari matatu. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Morogoro...

VIDEO :Nay Wamitego – Chini
VIDEO : Dayna Nyange Ft. Davido – ELO
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo May 30

Watu watano wamefariki dunia mkoani Morogoro katika ajali ya barabarani iliyohusisha magari matatu.

Kamanda wa polisi wa mkoa wa Morogoro, Fortunatus Muslim amesema ajali hiyo iliyotokea katika eneo la Nanenane imehusisha basi dogo la abiria aina ya Coaster, Lori na gari ndogo ya kubeba abiria (Taxi).

Ametaja chanzo cha ajali hiyo kuwa ni uzembe wa dereva wa Coaster ambaye alitaka kuyapita magari yaliyopo mbele yake bila kuchukua tahadhari.

Basi hilo dogo lilikua linatoka mkoani Dar es salaam kuelekea mkoani Mbeya na Lori ambalo ni mali ya kampuni ya Dangote lilikuwa linatokea Morogoro kwenda Dar es salaam.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Watu Watano wafariki kwenye ajali ya magari matatu Mkoani Morogoro
Watu Watano wafariki kwenye ajali ya magari matatu Mkoani Morogoro
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEinrIwUE5a4MZn6gnZSUTV3NWpnoRFmMzjyvKKuCterAqxW__qk6d_rp1kGHqojSp0_PLBeccSzTKvqyVoItRH-UWSZUL84HjEeSMss59hQBLWNXtFEQRKKuGOCudIizE9LroTFbTdNEa_G/s0/1.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEinrIwUE5a4MZn6gnZSUTV3NWpnoRFmMzjyvKKuCterAqxW__qk6d_rp1kGHqojSp0_PLBeccSzTKvqyVoItRH-UWSZUL84HjEeSMss59hQBLWNXtFEQRKKuGOCudIizE9LroTFbTdNEa_G/s72-c/1.png
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/watu-watano-wafariki-kwenye-ajali-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/watu-watano-wafariki-kwenye-ajali-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy