Mamlaka za maji zinazobambikiza bili Wananchi Kuchukuliwa Hatua
HomeHabari

Mamlaka za maji zinazobambikiza bili Wananchi Kuchukuliwa Hatua

Waziri wa Maji nchini Tanzania Jumaa Aweso amesema watazichukulia hatua mamlaka zote ambazo zitabainika kuwabambikizia bili wateja wa maj...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 1, 2024
Kelvin John apata timu Denmark aondoka Genk
Mkataba wa Enzo Maresca na Chelsea umethibitishwa.


Waziri wa Maji nchini Tanzania Jumaa Aweso amesema watazichukulia hatua mamlaka zote ambazo zitabainika kuwabambikizia bili wateja wa maji nchini.

Aweso ameyasema hayo jana Jumatatu Mei 10, 2021 wakati akijibu hoja zilizotolewa na wabunge wakati wakichangia makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaa wa fedha 2021/2022.

Alisema jukumu la wizara ni kuhakikisha kuwa mwananchi habambikiwi bili za maji

“Niwapongeze wabunge kwa kuwasilisha malalamiko ya wananchi wao,  hata mimi nilipopita huko nimesikia malalamiko hayo. Ni kweli anayelala na mgonjwa ndio anajua mihemo ya mgonjwa,” alisema.

Alisema baada ya kusikia malalamiko hayo wametoa maagizo kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Maji na Nishati (Ewura) kufuatilia malalamiko hayo.

“Wameshafanyia kazi nataka niwadhibitishie wabunge mamlaka yoyote itakayokuwa imekwenda kinyume aidha kwa kuwabambikizia bili wateja au kutoa bili ambazo hazijaidhinishwa na Ewura tutazichukulia hatua hata ziwe na mapembe kiasi gani,” alisema.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mamlaka za maji zinazobambikiza bili Wananchi Kuchukuliwa Hatua
Mamlaka za maji zinazobambikiza bili Wananchi Kuchukuliwa Hatua
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjqGnvgUmJSuJOyy-p71sZG2-BDagPwWWiQjZYydaq0y9umTPXSGLuyof-JyEWnDHlW7XEfk_ylDF1MWS4fQaibEjpAaMr2ZSZh0cHcRpREqf02VEsL0jNHadxQrqm9r7gwMZMK1fhC2X3U/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjqGnvgUmJSuJOyy-p71sZG2-BDagPwWWiQjZYydaq0y9umTPXSGLuyof-JyEWnDHlW7XEfk_ylDF1MWS4fQaibEjpAaMr2ZSZh0cHcRpREqf02VEsL0jNHadxQrqm9r7gwMZMK1fhC2X3U/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/mamlaka-za-maji-zinazobambikiza-bili.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/mamlaka-za-maji-zinazobambikiza-bili.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy