Kelvin John apata timu Denmark aondoka Genk
HomeHabariTop Stories

Kelvin John apata timu Denmark aondoka Genk

Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Kelvin John (20) ameondoka Club ya KRC Genk ya Ubelgiji na kwenda kujiunga na Club ya ...

Bashungwa aongoza Harambee Jimbo Katoliki Bunda,Mil 270 zakusanywa
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 11, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 10, 2024

Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Kelvin John (20) ameondoka Club ya KRC Genk ya Ubelgiji na kwenda kujiunga na Club ya Ã…lborg FC iliyopanda daraja na sasa itacheza Ligi Kuu Denmark msimu wa 2024/2025.

Kelvin John inaripotiwa kuwa amesaini Mkataba wa miaka minne wa kuitumikia Aalborg FC na sasa msimu ujao tutamuona akicheza Ligi Kuu ya Denmark baada ya kushindwa kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha KRC Genk licha ya awali kutangazwa kuwa alipandishwa timu ya wakubwa.

Aalborg FC ni timu kongwe nchini Denmark ilianzishwa 1885,’ ilishuka daraja msimu 2022/2023 na msimu wa 2023/2024 imepanda daraja na kurudi Ligi Kuu baada ya kumaliza nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi daraja la kwanza Denmark (NordicBet League).

The post Kelvin John apata timu Denmark aondoka Genk first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/m5kPNhz
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Kelvin John apata timu Denmark aondoka Genk
Kelvin John apata timu Denmark aondoka Genk
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/05/IMG_8227-950x940.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/06/kelvin-john-apata-timu-denmark-aondoka.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/06/kelvin-john-apata-timu-denmark-aondoka.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy