GOMES ANAAMINI KWAMBA WAFUNGAJI WAKE WATAMALIZA NAFASI YA KWANZA KWA UTUPIAJI
HomeMichezo

GOMES ANAAMINI KWAMBA WAFUNGAJI WAKE WATAMALIZA NAFASI YA KWANZA KWA UTUPIAJI

 LICHA ya kwamba kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara mtupiaji namba moja ni Prince Dube wa Azam FC,  Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes amesema k...

MERIDIAN BET YASAIDIA UJENZI KITUO CHA YATIMA CHA MAMA WA HURUMA
KOCHA GUARDIOLA AWATAJA WACHEZAJI ANAOWAHOFIA NDANI YA MAN UNITED
MECKY ALIPATA MUDA WA KUZUNGUMZA NA WACHEZAJI WAKE BAADA YA KUFUKUZWA

 LICHA ya kwamba kwa sasa ndani ya Ligi Kuu Bara mtupiaji namba moja ni Prince Dube wa Azam FC,  Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes amesema kuwa nyota wake Kagere atamaliza akiwa ni namba moja.


Kagere ni mfungaji bora kwa misimu miwili mfululizo,  aliibuka mfungaji bora msimu wa 2018/19 akiwa na mabao 23 na msimu wa 2019/20 akiwa na mabao 22.



Msimu huu wa 2020/21 amekutana na chuma, Dube ambaye anampa presha akiwa ni mtaalamu wa kucheka na nyavu ndani ya Azam FC,  ametupia mabao 12.


Kagere yeye msimu huu mpaka sasa ametupia jumla ya mabao 11 na mshikaji wake John Bocco ana mabao 10 ndani ya Ligi.


Gomes amesema:"Ninawaamini wachezaji wangu hasa katika safu ya ushambuliaji imani yangu ni kwamba watamaliza wakiwa juu katika suala la ufungaji hilo sina mashaka nalo.


"Suala la muda na utulivu kwao litawafanya wafikie malengo yao ipo wazi ushindani mkubwa nao wanashindana pia," .


Kwa sasa Simba ipo Afrika Kusini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo dhidi ya Kaizer Chiefs ambao ni robo fainali ya kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika,  unatarajiwa kuchezwa Mei 15.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GOMES ANAAMINI KWAMBA WAFUNGAJI WAKE WATAMALIZA NAFASI YA KWANZA KWA UTUPIAJI
GOMES ANAAMINI KWAMBA WAFUNGAJI WAKE WATAMALIZA NAFASI YA KWANZA KWA UTUPIAJI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjtupbVjHaf8wmdGYl5aaYymXt6lL6fLz_2At2zld0zJSCPUYt0h0iWT_uWkkNhlURsKf1RFZca2Yg_sjkYeihyphenhyphen4oRWi6Sr228-SLdO8-P1BWGWldtkEUXlFcJEa54uoy-ITurzWEcWXC4e/w640-h428/Screenshot_20210514-064836_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjtupbVjHaf8wmdGYl5aaYymXt6lL6fLz_2At2zld0zJSCPUYt0h0iWT_uWkkNhlURsKf1RFZca2Yg_sjkYeihyphenhyphen4oRWi6Sr228-SLdO8-P1BWGWldtkEUXlFcJEa54uoy-ITurzWEcWXC4e/s72-w640-c-h428/Screenshot_20210514-064836_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/gomes-anaamini-kwamba-wafungaji-wake.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/gomes-anaamini-kwamba-wafungaji-wake.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy