BAADA ya ubao wa FNB Soccer City Mei 15 kusoma Kaizer Chiefs 4-0 Simba, wawakilishi wa Tanzania wameweka wazi kwamba watapindua meza ki...
BAADA ya ubao wa FNB Soccer City Mei 15 kusoma Kaizer Chiefs 4-0 Simba, wawakilishi wa Tanzania wameweka wazi kwamba watapindua meza kibabe Uwanja wa Mkapa.
Leo kikosi kinatarajiwa kuwasili ardhi ya Tanzania kwa ajili ya maandalizi ya mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na ule wa marudiano.
Mchezo wa marudiano unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 22.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS