Idadi ya watalii wanaotembelea Tanzania yaongezeka
HomeHabari

Idadi ya watalii wanaotembelea Tanzania yaongezeka

Rais Samia Suluhu Hassan amesema idadi ya Watalii wanaofika nchini kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii imeongezeka kutoka laki sita ...


Rais Samia Suluhu Hassan amesema idadi ya Watalii wanaofika nchini kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii imeongezeka kutoka laki sita na elfu 20 mwaka 2020 hadi kufikia zaidi ya laki tisa mwaka 2021, ikiwa ni ongezeko la asilimia 48.6.
 

Rais Samia Suluhu Hassan amesema hayo mkoani Kilimanjaro wakati akizungumza na wakazi wa mkoa huo, baada ya kuwasili  nchini  akitokea Marekani na kuongeza kuwa idadi ya Watalii wanaoingia nchini inatarajiwa kuongezeka maradufu.

Amesema kiwango cha fedha za kigeni kutokana na utalii nchini nacho kimeongezeka kutoka dola milioni 714 za Kimarekani mwaka 2020 na kufikia dola milioni 1, 254 za Kimarekani mwaka 2021.
 

Akiwa nchini Marekani, Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na mambo mengine alishiriki uzinduzi wa filamu ya Royal Tour ambayo inatangaza vivutio mbalimbali vya utalii pamoja na fursa za uwekezeji zilizopo Tanzania.
 

Baadaye hii leo Rais Samia Suluhu Hassan atashiriki uzinduzi wa filamu hiyo jijini Arusha, uzinduzi utakaofanyika pia Zanzibar na Dar es Salaam kwa siku tofauti.




Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Idadi ya watalii wanaotembelea Tanzania yaongezeka
Idadi ya watalii wanaotembelea Tanzania yaongezeka
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjhK4psS-MMvkQtvXtdS1-Qt8eqbXxI4ruiRzVxHq0WeUTFHgGTrUJudeXRwB8QbGCvjYBbaJpwmKSp496O3tp0Y_tf4oQd9gRtp9SPtw-fhluDLYjZJTKmwWJ2STDM_GYM1SctKz_ZQBYEEPoKGTVt9nb4LqZ3-fBPKSJ1djkros6JSdOKg7XFTi_Diw/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjhK4psS-MMvkQtvXtdS1-Qt8eqbXxI4ruiRzVxHq0WeUTFHgGTrUJudeXRwB8QbGCvjYBbaJpwmKSp496O3tp0Y_tf4oQd9gRtp9SPtw-fhluDLYjZJTKmwWJ2STDM_GYM1SctKz_ZQBYEEPoKGTVt9nb4LqZ3-fBPKSJ1djkros6JSdOKg7XFTi_Diw/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/idadi-ya-watalii-wanaotembelea-tanzania.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/04/idadi-ya-watalii-wanaotembelea-tanzania.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy