Rais Samia Afanya Uteuzi Wa Mkuu wa Itifaki na Mkurugenzi Mkuu wa eGA
HomeHabari

Rais Samia Afanya Uteuzi Wa Mkuu wa Itifaki na Mkurugenzi Mkuu wa eGA

 Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Yusuf Mndolwa kuwa Balozi. Pamoja na uteuzi huo, Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Mteule Mnd...

Mtambo wa kisasa wa kukausha nguzo za umeme wazinduliwa wilayani Mufindi
Takwimu Ni Muhimu Ili Kujipima Katika Dhana Ya Kujenga Uchumi Shindani Na Wa Viwanda-waziri Mkenda
Serikali Ya Burundi Yapewa Eneo La Kujenga Bandari Kavu Hapa Nchini


 Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Yusuf Mndolwa kuwa Balozi.

Pamoja na uteuzi huo, Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Mteule Mndolwa kuwa Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocol) katika wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Balozi Mteule Mndolwa anachukua nafasi iliyoachwa na Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Balozi Mteule Mndolwa ataapishwa Jumatatu aprili 19, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

Wakati huo huo Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Benedict Ndomba kuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA).

Kabla ya uteuzi huo Ndomba alikuwa Mkurugenzi wa Miundombinu na Operesheni wa eGA na anachukua nafasi ya Dkt. Jabir Kuwe ambaye ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

Uteuzi wa viongozi hao umeanza Aprili 17, 2021.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais Samia Afanya Uteuzi Wa Mkuu wa Itifaki na Mkurugenzi Mkuu wa eGA
Rais Samia Afanya Uteuzi Wa Mkuu wa Itifaki na Mkurugenzi Mkuu wa eGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgLQUu4N2TVucyOUrlqHLjsU_pJ1F9NkopjnFqCaqTPlCwt9ry-CZOrGhZaIQFiChhkunS9Sw2Pu50g5ycUIJ98e7FrHfe9UQRsVYzps6950OlHJopxmOqJcdqDFRCuLaEWhYaFCacijNbI/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgLQUu4N2TVucyOUrlqHLjsU_pJ1F9NkopjnFqCaqTPlCwt9ry-CZOrGhZaIQFiChhkunS9Sw2Pu50g5ycUIJ98e7FrHfe9UQRsVYzps6950OlHJopxmOqJcdqDFRCuLaEWhYaFCacijNbI/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/rais-samia-afanya-uteuzi-wa-mkuu-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/rais-samia-afanya-uteuzi-wa-mkuu-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy