MSHAMBULIAJI MRUNDI FISTON KUONDOKA MAZIMA YANGA
HomeMichezo

MSHAMBULIAJI MRUNDI FISTON KUONDOKA MAZIMA YANGA

 MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Abdulazack kwa sasa muda wake wa kuishi Bongo upo ukingoni baada ya mkataba wake wa miezi sita kuwa kwenye ...

YANGA WATOA TAMKO BAADA YA KUPOTEZA MBELE YA WANAIJERIA KWA MKAPA
VIDEO: ALIYEWATUNGUA YANGA ATAJA NAMNA ATAKAVYOWEZA KUJIUNGA NA SIMBA
VIDEO:RIVERS UNITED YAIKAZIA YANGA, YAWEKA WAZI KWAMBA ITAWAFUNGA TENA NIGERIA

 MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Abdulazack kwa sasa muda wake wa kuishi Bongo upo ukingoni baada ya mkataba wake wa miezi sita kuwa kwenye hatua za mwisho kukamilika.

Raia huyo wa Burundi alisaini dili la miezi sita na pale msimu utakapokwisha naye inaelezwa kuwa atapewa mkono wa kwa heri.

Habari kutoka kwa mtu wa karibu wa nyota huyo zimeeleza kuwa tayari ameshaambiwa kwamba hataongezewa mkataba kwa kuwa bado hajaonyesha yale makali ambayo alikuwa nayo.

"Fiston kwa sasa muda wake umeisha na anajua kwamba hataongezewa mkataba kwani kazi ambayo alikuwa amepewa inaonekana bado haijaeleweka," ilieleza taarifa hiyo.

Raia huyo wa Burundi ndani ya ligi amefunga bao moja ilikuwa mbele ya Polisi Tanzania wakati wakigawana pointi mojamoja na ana bao moja kwenye Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora ilikuwa dhidi ya Ken Gold.

Hivi karibuni Fiston alisema kuwa anatambua uwezo wake na alisaini dili la miezi sita kwa kuwa hajawahi kudumu na timu kwa muda mrefu kutokana na ofa ambazo huwa anapata.

"Sijawahi kuwa kwenye timu moja kwa muda mrefu kwa sababu huwa ninakuwa na ofa nyingi sina tatizo na uwezo wangu,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MSHAMBULIAJI MRUNDI FISTON KUONDOKA MAZIMA YANGA
MSHAMBULIAJI MRUNDI FISTON KUONDOKA MAZIMA YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKsHaREqc9PHKIdqtMtTzOWVOr4I5Je8tTumB9SACw7UySHIFeJOzMIYIlYIeNGUxmaJNvh6KxcIDFkEXgpMuzEiB-9lpQpaIFL2cUsCp8HdxbsE_yAJ_9dQvU_xrCWmIi8c6C3NATKqNv/w640-h640/Fiston+mazoezi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKsHaREqc9PHKIdqtMtTzOWVOr4I5Je8tTumB9SACw7UySHIFeJOzMIYIlYIeNGUxmaJNvh6KxcIDFkEXgpMuzEiB-9lpQpaIFL2cUsCp8HdxbsE_yAJ_9dQvU_xrCWmIi8c6C3NATKqNv/s72-w640-c-h640/Fiston+mazoezi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mshambuliaji-mrundi-fiston-kuondoka.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mshambuliaji-mrundi-fiston-kuondoka.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy