MBEYA KWANZA WATAJA SABABU YA KUPANDA LIGI KUU BARA
HomeMichezo

MBEYA KWANZA WATAJA SABABU YA KUPANDA LIGI KUU BARA

STEVEN Matata, Kocha Mkuu wa Mbeya Kwanza amesema kuwa ushirikiano ambao alikuwa anapata kutoka kwa wachezaji pamoja na benchi la ufundi n...

ISHU YA MOHAMED HUSSEIN KWENDA YANGA, SIMBA WAFUNGUKIA
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

STEVEN Matata, Kocha Mkuu wa Mbeya Kwanza amesema kuwa ushirikiano ambao alikuwa anapata kutoka kwa wachezaji pamoja na benchi la ufundi ndani ya Ligi Daraja la Kwanza ni sababu kubwa iliyoifanya timu hiyo kupanda daraja.

Timu hiyo ambayo ipo kundi A ndani ya Ligi Daraja la Kwanza ilitimiza malengo yake ya kupanda Ligi Kuu Bara, Aprili 25 kwa kupata ushindi dhidi ya African Sports wa bao 1-0.

Matata amesema kuwa ni furaha kwa timu kiujumla kuweza kufanikiwa kupanda kwenye ligi kwa kuwa ilikuwa ni mipango iliyokuwa inapewa kipaumbele.

"Ninawapongeza wachezaji, benchi la ufundi pamoja na uongozi wa timu kwa kunipa ushirikiano, ushirikiano ambao tulikuwa tunapeana umesababisha tumeweza kufanikiwa malengo yetu ya kupanda ligi.

Mbeya Kwanza imecheza jumla ya mechi 15 imekusanya pointi 38 ipo nafasi ya kwanza huku African Sports ikiwa nafasi ya pili na ina pointi 28. Kwa msimu wa 2021/22 itakuwa ndani ya Ligi Kuu Bara huku ikisubiria kuona ni timu zipi ambazo zitashuka kutoka kwenye  Ligi Kuu Bara mpaka Ligi Daraja la Kwanza.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MBEYA KWANZA WATAJA SABABU YA KUPANDA LIGI KUU BARA
MBEYA KWANZA WATAJA SABABU YA KUPANDA LIGI KUU BARA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwR_4JWmxCRGVu4nLnTphtkNO0P27X_OiRq97YePXfcgCeAhGdwMqDfSp2FHzkkjiC4vQTsxOgwTr7SMwzxW87IpcOvg_biWZl6MQ4Bfv-4zdD9C0c1aU2vPgi2oiFr15ckP428GqxgBHN/w640-h354/Mbeya+Kwanza.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwR_4JWmxCRGVu4nLnTphtkNO0P27X_OiRq97YePXfcgCeAhGdwMqDfSp2FHzkkjiC4vQTsxOgwTr7SMwzxW87IpcOvg_biWZl6MQ4Bfv-4zdD9C0c1aU2vPgi2oiFr15ckP428GqxgBHN/s72-w640-c-h354/Mbeya+Kwanza.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mbeya-kwanza-wataja-sababu-ya-kupanda.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mbeya-kwanza-wataja-sababu-ya-kupanda.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy