MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amesema kuwa nyota wao Mohamed Hussein bado yupoyupo ndani ya Simba kwa sasa na hatokwenda Yanga....
MTENDAJI Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amesema kuwa nyota wao Mohamed Hussein bado yupoyupo ndani ya Simba kwa sasa na hatokwenda Yanga.
Imekuwa ikielezwa kuwa nahodha huyo msaidizi yupo kwenye rada za Yanga ambayo inahitaji kuboresha kikosi chake.
Mkataba wa Hussein ambaye ni beki mzawa inaelezwa kuwa mkataba wake umebaki muda wa mwezi mmoja kumeguka.
"Tumeskia hizo taarifa za beki ba nahodha wetu kutaka kusajiliwa Yanga, lakini nipende kuwaweka wazi kuwa huyo bado ni mchezaji wetu kwa kuwa ana mkataba na Simba.
"Lakini pia uongozi una matarajio makubwa ya kumpa mkataba mpya wa kuendelea kusalia ndani ya Klabu yetu,".
Chanzo: Championi
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS