AZAM FC YAWEKA REKODI TAMU KAGAME, KOCHA ATOA NENO
HomeMichezo

AZAM FC YAWEKA REKODI TAMU KAGAME, KOCHA ATOA NENO

VIVIER Bahati, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesma kuwa vijana wake wanastahili pongezi kwa kuweza kutinga hatua ya nusu fainali na wanatakiw...


VIVIER Bahati, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesma kuwa vijana wake wanastahili pongezi kwa kuweza kutinga hatua ya nusu fainali na wanatakiwa waendelee kutambua kwamba kazi bado inaendelea.

Ni bao pekee la Idd Kipagwile staa wa Azam FC ambaye alipachika bao hilo dk 22 liliwafanya waweze kutinga jumla hatua ya nusu fainali mbele ya Messager FC ya Burundi.

Katika kundi B la Kombe la Kagame 2021 linalofanyika Tanzania na kutumia viwanja viwili ambavyo ni ule wa Mkapa pamoja na Azam Complex, mabingwa watetezi ni KCCA ambayo ipo kundi moja na Azam ikiwa nafasi ya pili na pointi 3.

Kwenye msimamo ipo nafasi ya kwanza katika kundi B imekusanya jumla ya pointi 4 huku Messager FC ikiwa imekusanya jumla ya pointi moja baada ya kucheza mechi mbili.

Bahati amesema:"Vijana wamepambana na wanastahili pongezi licha ya ushindi bado kazi inaendelea kwani tunahitaji kuweza kutwaa taji hili,".


Inakuwa ni rekodi tamu ambayo imewekwa na Azam FC ambao wanaiwakilisha Tanzania, timu nyingine ni Yanga ambayo ipo kundi A ina pointi mbili pamoja na KMKM iliyo kundi B ina pointi moja.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC YAWEKA REKODI TAMU KAGAME, KOCHA ATOA NENO
AZAM FC YAWEKA REKODI TAMU KAGAME, KOCHA ATOA NENO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh0zrCMBOlYnL9dzDX-gQPLRaqQFNoimwzyvXQCOiol3z1WnqqlZBfM53q1ja0j2pvB9cYJ9F7EacmOfTItBdkXrxg5TXaebxhpFG6mI_XjZBiChAeuZxMau7D6Ad1IAlaXzjIGPyiLOYTf/w640-h640/azamfcofficial-232230912_236017401727059_4498752200392122635_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh0zrCMBOlYnL9dzDX-gQPLRaqQFNoimwzyvXQCOiol3z1WnqqlZBfM53q1ja0j2pvB9cYJ9F7EacmOfTItBdkXrxg5TXaebxhpFG6mI_XjZBiChAeuZxMau7D6Ad1IAlaXzjIGPyiLOYTf/s72-w640-c-h640/azamfcofficial-232230912_236017401727059_4498752200392122635_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/azam-fc-yaweka-rekodi-tamu-kagame-kocha.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/azam-fc-yaweka-rekodi-tamu-kagame-kocha.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy