WAKALA wa wachezaji wa Clatous Chama anayetambuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Soka, Fifa anatajwa kuwaletea kiungo Moses Phiri na dili h...
WAKALA wa wachezaji wa Clatous Chama anayetambuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Soka, Fifa anatajwa kuwaletea kiungo Moses Phiri na dili hilo linatajwa kuwa limefikia katika hatua nzuri kwa sasa.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Wakala huyo ni Paricha Chikoye ambaye amekubali mchezaji huyo kutua Simba.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS